simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Rais mtukufu na malaika... teh teh teh
Hahahahaaa...au mbegu tasaMbegu imefukiwa chini ya zege
Kweli mkuu kwa hilo nimeliona pia.Kwa FaizaFoxy hawezi mpamba Magufuli kwa sababu ana jina la John, mark my words
Mkuu jibu hoja siyo kiojaMlilipwa kumshambulia JPM kipindi cha kampeni mkashindwa,mlivyo na akili fupi mnadhani mtafanikiwa na mtu ameshakuwa Raisi??,kweli akili zenu fupi sana,ndo maana Mzee Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA.,ndo maana Mlikuwa mkizungusha mikono kama wendawazimu,nimeanza kuelewa.
Ukweli wa mungu sijaelewa umeandika niniSerikali ya Awamu ya Tano haiendeshwi kwa MIHEMKO Kwa Sera za MATUKIO.Hadi Mtaisoma Namba Na kashfa zenu na kukosoa kwenu Hakutambadili wala kumkatisha Tamaa kusudi Atimize SUDI lenu.Anachokisema ndicho Anachotenda na Anaishi katika kutenda yale Anayoyaamini.Nanyi Mpate japo hoja ya kusema na kuzoza humu JF na wengine Mjengoni kwani katika Miezi hii SITA na ushei.Mmetufanyia nini haswa Watanzania wakasema au kuwaongeleeni.Na safari hii Mmefika Tutarudi kwenye Mstari.
Unapochangia hoja jaribu kutumia lugha ya staha hasa inapokuwa mhusika ni mheshimiwa. Ustaarabu na heshima ni kitu cha bure. Usiwatukanishe waliokuzaa na kukulea kuwa hawakutimiza wajibu wao ulipokuwa mtoto hadi ukikua.Tembo anabebeshwa ubongo wa kuku
Wewe ni yupi hapo?Unapochangia hoja jaribu kutumia lugha ya staha hasa inapokuwa mhusika ni mheshimiwa. Ustaarabu na heshima ni kitu cha bure. Usiwatukanishe waliokuzaa na kukulea kuwa hawakutimiza wajibu wao ulipokuwa mtoto hadi ukikua.
Utakuwa umelala gheto Kwa Lugumi si bure ! Maana Uandishi huu umejaa Unafiki mwingi .Serikali ya Awamu ya Tano haiendeshwi kwa MIHEMKO Kwa Sera za MATUKIO.Hadi Mtaisoma Namba Na kashfa zenu na kukosoa kwenu Hakutambadili wala kumkatisha Tamaa kusudi Atimize SUDI lenu.Anachokisema ndicho Anachotenda na Anaishi katika kutenda yale Anayoyaamini.Nanyi Mpate japo hoja ya kusema na kuzoza humu JF na wengine Mjengoni kwani katika Miezi hii SITA na ushei.Mmetufanyia nini haswa Watanzania wakasema au kuwaongeleeni.Na safari hii Mmefika Tutarudi kwenye Mstari.
Anafagia Kwa kukwepa kwepa akiona JIPU ni la rafiki yake analikwepa mfano sasa kalikwepa JIPU la Mwakyembe , January na sasa kitwanga na Lugumi anatumia Sukari kuwasahaulisha Majipu ya hao watu, miezi 7 humo humo hayo Majipu yangetumbuka na tafasiri yako ya kufanya makubwa ingeleta maana.Mbona mtoa post na wachangiaji hamjielewi? kwa miezi 7 aliyoyafanya ni makubwa sana, lakini ni muda mfupi kubadilisha nchi na watu kufaidi au kupata ahueni ya maisha, halafu budget ndo hiyo kwanza hata haijapita mmeanza kelele, kumbukeni wafanyabiashara pia wanataka kua juu ya serikali kwa kuficha sukari ili wajipangie bei, JPM bado anajipanga kwa mambo mengi , utumbuaji ( kuwasimamisha watu Kazi) lazima iwe kazi endelee mpaka tuheshimiane.
Njama zipi fafanua Vizuri au wewe ni escrow ? au wewe ni Lugumi ? au wewe ni mzabuni wa kununua mabehewa chakavu ? inaelekea kuna ulaji unafaidi na Magufuli hajakugusa kabsa.Hizi ni njama za mafisadi wahujumu uchumi na wapiga dili
Watatulia tu
mkuu si kwamba watu hawaoni kazi ya Magufuli , watu wanaipenda na kuikubali sana lakini Tatizo kubwa ni pale alipoanza kukwepa baadhi ya Majipu ya rafiki zake wakubwa .Mkuu, inawezekana wapo ambao wameathirika na mambo mengi kama ulivyoainisha, lakini yapo mambo ambayo kiukweli muulize mtu yeyote MAKINI tena ndani ya Serikali tena mtu muadilifu, atakuambia pamoja na nia njema ya mh, kuna maeneo anakosea sana. Siyo lazima kuyataja lakini kiukweli, washauri wake wajitahidi kumshauri. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo inabidi umuombe sana Mungu akupe Hekima, Subira, busara na uvumilivu!
Mtaelewana na Wagogo na wanyamweziHabari mnayo.. Tatizo hamtaki kujifunza nchi sio JF mwenzenu yupo mtaani nyinyi mpo JF. 2020 sio mbali tutaelewana tu.
Mwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Mkuu huyo hayumo katika hayo Makabila huyu n Mzinza au MsubiNafuatilia kauli ya Nyerere ya Makabila ambayo hayawezi kushika urais Kama ilikuwa ya kweli. Mojawapo lilikuwa ni hili la Huyu Jamaa.