Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,983
Mipango ya Mze wa Msoga ni mikubwa.Makonda alipikwa na kuivishwa na Mze wa nchi.
Uzuri wa Makonda huwa hajibugi wapuuzi na upuuzi wao. Hutuachie sie tuwajibu.Hili mbona lipo wazi.
Nitakaye mbusu ndiye, mkamateni! Na yule je aliyelia hadharani kama Yuda ni wa pili?Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
Ni matokeo ya matumizi ya unga wa sembe ( uliokobolewa kuomdoa virutubisho) kama chakula kikuu. Watanzania wengi wana udumavu wa kiakili, reasoning capacity ipo chini sana.Hilo si tatizo la ushamba pekee mkuu, ni ujinga.
Kwa makadirio ya haraka zaidi ya 90% ya watanzania ni wajinga walio na uwezo wa kufikiri ulio chini sana kiasi cha kustaajabisha
Hivi sitta alimfanyiaga nini huyu Jamaa?Kwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)
Na aka rectruited Tiss kupitia Mikono ya Benard Camilius Membe na Makonda ndiye alikuwa akimsanua Membe mipango yooote michafu dhidi yake Magufuli alikuja kujua ikiwa toooooooo late na ndiye kwenye Serikali yake awamu ya pili alimkata Bashite jina kule kigamboni kumtupa nje ya uzio lakini kama nilivyosema it was tooooooooo lateeeeee kwa JPM.
Makonda snitch kama masnitch wengine na pia alikuwa ashawageuka wana mtandao hivyo hadi sasa haaminiki kama mwanzo isipokuwa wanataka kumtumia ili wakishakaa mtandaoni 2027 watampangusa taratibu hadi kufika 2030 tutarudi wote hapo panapo uzima huyo Bashite atakuwa kama Majaliwa tu wa leo.
Sizonje cc LusungoHili wazo limenijia pia jana.
Jamaa ni timu msoga aliyesogezwa kwa Sizonje kwa akili kubwa.
Cc Robert Heriel MtibeliNdio maana huwa nawaambia watu tafuteni taarifa sahihi, maana kuna watu wengi humu ni oyaoya hawana kabisa jicho la kijasusi ambalo kila mtu amezaliwa nalo ni suala la kucoordinate ubongo na kufree baadhi ya mambo.
Dunia inataka utulivu sana kudeal na baadhi ya mambo, mengi uyaonavyo kwa jicho la kawaida sivyo yalivyo na ukifunuliwa unaweza ukafa.
ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan.
Umechelewa sana kujua, Makonda alilelewa na Samweli Sitta Mwanamtandao, akateuliwa Ukuu wa Wilaya na Kikwete baada ya kumkata mitama Mzee WariobaLeo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
Sure...Bashite ni nyoka mwenye sumu kali sana. Mafanikio yake anayapata kwa kuwafitini wengine. Bahati mbaya wananchi wengi wako na low thinking capacity amefanikiwa kuwalaghai.
Ndiye alimvua ubingwa .
Makonda ndiye alitoa password kwa wauaji.Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
😂😂😂 kama ni kweli aisee walitumia akili kubwa Jiwe ulikuwa humwambii kitu kwa RC wakati ule wa jiwe yeye ndio alikuwa kama Abdu.Hii itakuwa ni kweli maana angekuwa sio wangekuwa wamemtema muda tu.Yule mwezie Ole Sabaya ametupwa huko gizaniHili wazo limenijia pia jana.
Jamaa ni timu msoga aliyesogezwa kwa Sizonje kwa akili kubwa.