Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,962
Ile picha mbona kaa walikua wapenziHuyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kale
Ile picha mbona kaa walikua wapenziHuyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kale
Umeona mbali sana.So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
R.I.P Magufuli
Samia hadi 2045..mtaweukaa!Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
R.I.P Magufuli
Makonda mwasisi wa WasiojulikanaKwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)
Na aka rectruited Tiss kupitia Mikono ya Benard Camilius Membe na Makonda ndiye alikuwa akimsanua Membe mipango yooote michafu dhidi yake Magufuli alikuja kujua ikiwa toooooooo late na ndiye kwenye Serikali yake awamu ya pili alimkata Bashite jina kule kigamboni kumtupa nje ya uzio lakini kama nilivyosema it was tooooooooo lateeeeee kwa JPM.
Makonda snitch kama masnitch wengine na pia alikuwa ashawageuka wana mtandao hivyo hadi sasa haaminiki kama mwanzo isipokuwa wanataka kumtumia ili wakishakaa mtandaoni 2027 watampangusa taratibu hadi kufika 2030 tutarudi wote hapo panapo uzima huyo Bashite atakuwa kama Majaliwa tu wa leo.
Hili jambo linafahamika kipindi kirefu sana mkuu.Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
R.I.P Magufuli
Hilo si tatizo la ushamba pekee mkuu, ni ujinga.Sikujua kama mji wetu wa Arusha una washamba kiasi hiki...kila mahali leo ni Makonda, wadudu, boda boda eti wanamsindikiza kuchukua fomu...yaani tuko nyuma sana kama Makonda leo ni hero wa Arusha, ni masikitiko
Sio kweli kwamba alikuwa na miaka 28 unajua aliteuliwa lini UDC na mwaka wake aliozaliwa ?Makonda alianza kua DC kinondoni enzi za kikwete akiwa na miaka 28 tu.
Kwa hoyo ile picha alikuwa akiliuza limama?Huyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kale
Makonda aliwauza wengi sana...Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
Samahani lakini lazima niseme wazi kuwa nyie nyumbu wa lissu na walinda legacy wa JPM ni watu wamoja wapumbavu sana. Huo ni ukweliKwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)
Na aka rectruited Tiss kupitia Mikono ya Benard Camilius Membe na Makonda ndiye alikuwa akimsanua Membe mipango yooote michafu dhidi yake Magufuli alikuja kujua ikiwa toooooooo late na ndiye kwenye Serikali yake awamu ya pili alimkata Bashite jina kule kigamboni kumtupa nje ya uzio lakini kama nilivyosema it was tooooooooo lateeeeee kwa JPM.
Makonda snitch kama masnitch wengine na pia alikuwa ashawageuka wana mtandao hivyo hadi sasa haaminiki kama mwanzo isipokuwa wanataka kumtumia ili wakishakaa mtandaoni 2027 watampangusa taratibu hadi kufika 2030 tutarudi wote hapo panapo uzima huyo Bashite atakuwa kama Majaliwa tu wa leo.
Kwani Konda alikuwa zao la Mwendazake?Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
Mbona wewe unalaghaiwa na Slowslow Mzee wa Vieteli na yule tajpri mwizi wa sadaka unakenua tuu?Bashite ni nyoka mwenye sumu kali sana. Mafanikio yake anayapata kwa kuwafitini wengine. Bahati mbaya wananchi wengi wako na low thinking capacity amefanikiwa kuwalaghai.
Kwa nini hakumtibu? Bado hakuna mnachojua.Lissu pia ameujua ukweli ikiwa too late,
Kumbe Magu hakuhusika kumuumiza!
Wameungana wapumbavu Kwa wapumbavu 🤣🤣Samahani lakini lazima niseme wazi kuwa nyie nyumbu wa lissu na walinda legacy wa JPM ni watu wamoja wapumbavu sana. Huo ni ukweli