Sio kweli kwamba alikuwa na miaka 28 unajua aliteuliwa lini UDC na mwaka wake aliozaliwa ?
Aliteuliwa mnamo tarehe 18 february,2015 na JK. Wakati huo makonda alikua na miaka 33,paulo makonda amezaliwa 15 February, 1982 kijiji cha Kolomije,wilayanl misungwi mkoani Mwanza
Mnamno tarehe 13 march,2016 Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na Rais Magufuli,makonda akiwa na umri wa miaka 34 ametumikia nafasi ya mkuu wa mkoa wa DSM mpaka mwaka 2020
Ukiwa chawa wake inatakiwa pia umjue vizuri😆 sio unakuwa chawa mandazi