toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,563
- 3,225
Mkuu hii nchi mtandao walijisimika muda mrefu sana, yaani wako deep sana. Hii kete ilisogezwa kiufundi sana, balaa mno
Inawezekana ndio sababu ya magu kutokumrudisha baada ya kuenguliwa U RC baada ya kugombea ubunge alikuwa anamtafutia sababu