Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli