Magufuli akagua daraja la Kigamboni

Magufuli akagua daraja la Kigamboni

wakati wengine muda huo ndo walikuwa wanapigwa dose ya mwisho mwisho na sangoma,
wakati wengine wapo na vimada pale white sand,
wakati wengine wakiwa wanaangalia mahekaru yao,
wakati wengine wakiwa wanabeza report za kamati ya tokomeza ujangili,
Yeye jumapili hii siku ya mapumziko anawatumikia watanzania,
Hivi huyu hawezi kuingia na kuwatumikia watanzania pale ikulu?
naam majibu yapo kwetu watanzania!
uchaguzi wa mizigo au wawajibikaji ni juu yetu 2015,
Huenda kweli ni mchapakazi, lkn huenda anaamini kama wahandisi ujenzi wengi wanavyoamini..UKITAKA KULA DILI LISILO NA JASHO NENDA 'SITE'...!
 
Mumeo huyo hapo chini, haya endelea kusema hahitaji kuvaa kofia maana hakuna kitu kinaweza kumuangukia.

Jamaa ni Mkristo, hawezi kuwa na wake wawili, ila wewe ndiyo PEKEE bi Mkubwa....... Hongera sana Mama Magufuli.

attachment.php

.........kwani wewe ni mke mdogo !???
 
Tatizo la tanzania sio chama,, tatizo ni watu,,, watendaji wengi na watanzania wengi hatuna uzalendo.. hili ni tatizo kubwa la nchi yetu,,, asilimia 80% ya watanzania si wazalendo,, ila ni wabinafsi, wanafiki nk.. huyu jamaa kidogooo anaonyesha yupo kundi gani!!!! je wewe??? jiulize na ujipime mwenyewe then toa majibu kwenye kichwa chako je nikipewa dhamana/madaraka kwenye taifa hili nitakuwa mzalendo???
 
Umesema ukweli mtupu!!!! tubadikie.
 
no comment.. kina Kapuya wangekuwa kama huyu jamaa nchi ingekuwa mbali sana.........
 
Kwa kweli nimeipenda hii. Kudrive gari lake mwenyewe, kuvalia casual, kukagua daraja wakati macho na masikio ya wote wakiwa Ikulu.

Huyu mtu anastahili kuwa sehemu fulani zaidi ya hapa. Pengine uwaziri mkuu unamfaa kabisa. Uchapa kazi wake ni wachache sana wanao, na wenye nao hawaishi Tanzania.
Kweli kabisa mkuu sio huo mzigo ulioshika hiyo nafasi ya uwaziri mkuu kwa sasa
 
Huyu Jamaa tutapo chukua nchi tutamtoa huko analikubali sana chama
 
Back
Top Bottom