Magufuli akagua daraja la Kigamboni

Magufuli akagua daraja la Kigamboni

Magufuri anatisha sana ijapo CCM wenyewe hawamkubali na kusema kweli hawamhitaji
 
Ingekuwa mm ninamaamuzi hawa mawazir na manaibu woye wangekiwa wanajiendesha wenyewe hakuna sababu ya kuendeshwa kwakwel hii nimeipenda sana

Ni nzuri sana na wanaweza ila wanaringa sana,onarsis J.Kabila wa drc akija Lubumbashi anadriver bila shida
 
asiye mkubali ajinyee hapo hapo ulipo...
Watz bana tuna shida sana mtu akifanya kazi kwa bidii mnafiki, asipofanya yeye ni mzigo khaaa!!!
 
Uliibanaye ukamjua ni mwizi. Tujuze hatutaki umbeya. Wana jf kila penye zuri mchawi hukosekani.
 
Kiukweli magufuli ni mzalendo anaipenda nchi take p



Magufuli ni jembe yani huyu kama angepata nafasi ya kugombea uraisi 2015 Nina uhakika angeshinda kwa kura nyingi sana kwani amekua kiongozi bora na mwenye mfano wa kuigwa na viongozi wengine. Big up magufuli
 
Njia za kupunguza msongo wa mawazo zipo nyingi. Yeye kachagua hiyo.
 
Kiukweli magufuli ni mzalendo anaipenda nchi take p



Magufuli ni jembe yani huyu kama angepata nafasi ya kugombea uraisi 2015 Nina uhakika angeshinda kwa kura nyingi sana kwani amekua kiongozi bora na mwenye mfano wa kuigwa na viongozi wengine. Big up magufuli

Anakubalika na wtz,hakubaliki na rostam.si unajua ndio anayetuchagulia rais.
 
attachment.php
 
Ukitaka kujua UBABE wa Wana Siasa na kutokuheshimu sehemu za kazi na sheria zake ni hapa.

Nimeshaona mara nyingi sana viongozi wanafika sehemu za UJENZI na wanakuwa hawajavaa nguo za kikazi na cha muhimu ni ile Kofia ya kujikinga kichwani ambayo ni LAZIMA uwe nayo. Wengi mmeshaona hilo na mtaendelea kuona. Nimeshaambiwa kuwa huwa wanaandaliwa ila wao WANAGOMA kuvaa..... Halafu utegemee nchi iendelee.....

attachment.php
 
Ama kweli Magufuli ni Kiboko, baraza linatangazwa yeye yupo site visit ! Nimeipenda sana- Big up Pombe
 
Watanzania wengi tunasumbuliwa na roho ya kulalamika mwee..asa mlitaka akae kwenye radio au tv anasikiliza sefue?
 
Back
Top Bottom