Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,194
- 7,030
Nyumba za serikali alizouzaKakuibia nini mkuu?
Nyumba za serikali alizouzaKakuibia nini mkuu?
Nimeshangaa hata kutoamini macho yangu kipindi tupo twasikiliza redio kutangazwa baraza la Mawaziri , Dr. Magufuli alikuwa hapa kwenye Ujenzi wa daraja la Kigamboni na tena akiwa peke yake kavaa casual alikuwa anadrive Gari lake mwenyewe. Watu wamecheka na kufurahi kwa vile kaondoka pale kwenda kukagua eneo lenye utata wa kupisha Ujenzi , inaonekana hata hajui kinachoendelea Ikulu!
Pata picha zake:
View attachment 133263
View attachment 133254View attachment 133256View attachment 133258View attachment 133260View attachment 133261View attachment 133262
Source: mimi mwenye, fundi mchundo darajani
Nyumba za serikali alizouza
Nimshtaki kwenye serikali ya wezi?Sasa mbona hujamshitaki kama una uhakika kakuibia ?
Hizi ndio cheap popularity za kijinga lakini zina mwisho wake
hana lolote alikuwa ana habari ya kilichokuwa jamaa anatafuta umaarufu wakijinga mwizi mkubwa
Na wala sio wewe nakulaumu mkuu nalilaumu hili tapeli la barabaraNilichofanya mimi ni kuleta nilichokiona ni very interesting! mengine mimi siyajui
Nimeshangaa hata kutoamini macho yangu kipindi tupo twasikiliza redio kutangazwa baraza la Mawaziri , Dr. Magufuli alikuwa hapa kwenye Ujenzi wa daraja la Kigamboni na tena akiwa peke yake kavaa casual alikuwa anadrive Gari lake mwenyewe. Watu wamecheka na kufurahi kwa vile kaondoka pale kwenda kukagua eneo lenye utata wa kupisha Ujenzi , inaonekana hata hajui kinachoendelea Ikulu!
Pata picha zake:
View attachment 133263
View attachment 133254View attachment 133256View attachment 133258View attachment 133260View attachment 133261View attachment 133262
Source: mimi mwenye, fundi mchundo darajani
nadhani huyu jamaa akija kukaa na mamvi pale juu nchi itasonga,ni maoni yangu tu wanajamvi kwani ni viongozi wachache wenye moyo huo
Nimshtaki kwenye serikali ya wezi?
Hana lolote alikuwa ana habari ya kilichokuwa jamaa anatafuta umaarufu wakijinga mwizi mkubwa
kumbe hujui mahakamaccm?Kwani serikali ndio mahakama?
wewe unajuaje aliye ripoti hakwenda nae?Umaarufu kwa vipi? Hajaenda na magazeti, tv, wala redio. Kama sio kiherehere cha huyu fundi mchundo nobody would know!