mikonomiwili
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 273
- 51
Hana lolote alikuwa ana habari ya kilichokuwa jamaa anatafuta umaarufu wakijinga mwizi mkubwa
Binadamu kazi sana Mtuakijitolea kufanya kazi anatukanwa eti ana tafuta umaarufu mtu akiwa hafanyikazi eti ni mzigo kwaserikali
sasa kipi bora ? Afanye nini ili umwelewe ?