Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

hata kama ingekuwa mimi ile zomeazomea ya leo mchana kutwa ningechanganyikiwa & kula corner tu

Hahahaaa .... ni roho ngumu sana kweli jamaa amebanwa mbavu.
 
Nyie wasomi fake acheni uzushi BBC hawakuwa na katiba ya mahojiano naagufuli Leo. That is a creation of your imagination. Hata hivyo urais siyo spoken english! Hivi akishinda mtaficha wapi nyuso zenu? Simple minds discuss people!

Kwa hiki ulichoandika, nakusihi unawe mikono na sabuni kabla ya kulala
 

Kutojua kiingereza ni aibu kwa mapoyoyo kama wewe....

Wengine tunaona kiingereza ni lugha kama lugha zingine vile ... Kisandawe, kinyaturu N.k
 
unaweza hojiwa ukajibu utumbo afadhali usingehojiwa au ukaingia mitin.
 
Ulitaka aandike kakimbia?? uandishi ni taaluma

Katimua mbio maana yake alitakiwa awepo kwa maelezo ya mleta uzi ila kakimbia.
Ila kwa kutokana na tweet ya Yunus, ni kwamba wanafanya juhudi bado za kumualika.
 

aiseee huna hiuruma ma mbavu zangu? Nakuchukulia rb maana umeniuwaaaaaa
 
Nyie wasomi fake acheni uzushi BBC hawakuwa na katiba ya mahojiano naagufuli Leo. That is a creation of your imagination. Hata hivyo urais siyo spoken english! Hivi akishinda mtaficha wapi nyuso zenu? Simple minds discuss people!

What is katiba ya mahojiano??
 

Na angeulizwa ESCROW ilikuwa pesa ya watanzania au ya Kikwete na maswahiba zake angejibu nini sijui.
Au angetuimbia alinselema na kusindikizia vi push up uchwara.
 
Huyo kinara wa kuingia mitini...alimkimbia hadi Bi Anna wa ACT.
 
Kwa kiingererza kile sijui akialikwa BBC kwenye kipindi cha HARD TALK itakuwaje!??

Kazoea kubwabwaja kisukuma tu StarCCM TV ya Dialo!!!

Atasema kama ni sharti mgombea kushiriki hard talk na ugombea siutaki!
 
hata lowassa hakuhojiwa jana, hizo interview zilishafanyika wanachofanya bbc ni kuweka recorded tu, acha kukurupuka
 
TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA KESHOKUTWA....Kwakweli tumeichoka CCM na wagombea wake kwa AHADI ZA UONGO kwa miaka zaidi ya 50.
 
hahaha hamjajua kinachofanywa anaandaliwa majibu ya yale maswali ya lowasa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…