Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
Magufuli hawezi kuubadilisha uchumi wa Tanzani. He can not.
Uwezo wake umeshafika mwisho
Uwezo wake umeshafika mwisho
Naona unatikisika ukisikia 2017 ni mwaka wa kunyooshwa zaidiSame sh*t,different toilet.....
Kama yapi kilaza tuambieSubiri muda wake kikatiba ukiisha ataenda kupumzika lakini amepambana na mauvundo mengi duuh
Kama humuelewi basi na wewe utakuwa ni jipu.Yaani atokomee zake maana simwelewi hata kidogo!
Nakumbuka Van Gaal aling'aa miaka flani,lakini kapewa kila kitu united na ulimi umemtoka,ni sawa na Magufuli,Mbinu zake ni kukariri Mabarabara na sio kusimamia familia za watu milioni 50.Kashindwa aletwe Antonio Conte,He cant deliver.Magufuli hawezi kuubadilisha uchumi wa Tanzani. He can not.
Uwezo wake umeshafika mwisho
Kama yapi kilaza tuambie
Tanzania Mpya ikoje
Wafanyakazi hewa
Kama polisi na jeshini alipohakiki sio?Wafanyakazi hewa