Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Mwaka huu mpya 2017 utakua mwaka wa Tanzania mpya kwa wananchi wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote, wafanyakazi na wafanyabiashara wote
heri ya mwaka mpya wa amani na amesema utakua mwaka mzuri katika huduma mbalimbali na maboresho mbalimbali.

Chanzo: Mtanzania
 
Mwaka huu mpya 2017 utakua mwaka wa Tanzania mpya kwa wananchi wa Tanzania, Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote, wafanyakazi na wafanyabiashara wote mwaka wa amani na amesema utakua mwaka mzuri katika huduma mbalimbali na maboresho mabalimbali.

Chanzo: Mtanzania
Kauli hizi zimeshazoeleka, hamna namna ni kupuuza tu.
 
Mwaka huu mpya 2017 utakua mwaka wa Tanzania mpya kwa wananchi wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote, wafanyakazi na wafanyabiashara wote
heri ya mwaka mpya wa amani na amesema utakua mwaka mzuri katika huduma mbalimbali na maboresho mbalimbali.

Chanzo: Mtanzania
Amen RA
 
Wakati tendo linafanyika na wewe umo ndani ya gemu huoni kama timu inafanya vizuri.
Mtajua uzuri wa Magufuli baada ya yeye kuitengeneza Tanzania kwa watanzania wajao. Kizazi hiki kimeishi kwa mazoea muda mrefu hivyo si rahisi kusupporr mtu anayeyaondoa mazoea na kuleta uwajibikaji, ukweli na uhalisia wa maisha.
 
Hajawahi eleweka huyu mtu,ana chuki za wazi kwa wananchi,tutafika tuu
Mungu naye yupo bize....Kuna watu ambao dhahiri ilibidi awachukue mapema wakadeki mabanda ya kuku huko mbinguni...kuwapa uongozi hapa duniani ni aibu,hata mungu mwenyewe anatushanhangaa!
Shubaaamit!
 
Umeshamsoma Buhari na mambo yake kule Nigeria? Alikuja na mikwara hii hii ya kuibadilisha nchi lakini leo anahema ulimi nje. Magufuli is no better and no different.
Nchi huendeshwa kwa mikakati siyo akili za mtu mmoja ambaye historia yake imejaa mifano ya kuitia nchi hasara tupu.

Back
Top Bottom