Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

Kwa kweli anafanya kazi nzuri..japo inahitaji ushirikishi ktk maendeleo..nampongeza kwa kuleta heshima Tz..
 
Wakati tendo linafanyika na wewe umo ndani ya gemu huoni kama timu inafanya vizuri.
Mtajua uzuri wa Magufuli baada ya yeye kuitengeneza Tanzania kwa watanzania wajao. Kizazi hiki kimeishi kwa mazoea muda mrefu hivyo si rahisi kusupporr mtu anayeyaondoa mazoea na kuleta uwajibikaji, ukweli na uhalisia wa maisha.
Uwajibikaji kwa kushindwa kuongeza mishahara na uhaba wa chanjo na dawa ndo kuna uwajibikaji hapo,kupungua wanafunz elim ya juu ndo uwajibikaji
 
Back
Top Bottom