Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

Hivi wadaganyika wamerogwa na nani? Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.
 
Ukishaona Rais haweki kipaumbele kwenye Elimu na walimu,kilimo na ufugaji,umeme maji na afya,madini na biashara ujue hamna jipya!
Elimu imedoda hasa sayansi na technolojia na maabara kazipotezea.pesa ya elimubure ingeboresha mashule kupata maabara,library na vyoo kwanza.
Kilimo na ufugaji, wanakimbizana wakulima na wafugaji huku wakitumia elimu duni,teknolojia dhaifu na ubahatishaji Wa mvua na lishe.
Umeme,maji na afya. Tanesco hawajielewi wanapoenda,maji Safi ni lulu hasa vijijini mabomba nitokaenzi za mkoloni na afya na matibabu ni kitendawili,hata chanjo kwawatoto inatushinda.
Madini na biashara, hakuna mabadiliko yoyote yamanufaa kwenye sekta ya madini yanayozidi kuisha Pia biashara zinaanguka na zinafanyika kiholela bila mifumo ya kuzitambua na kuzisaidia kukuwa ili tushindane kimataifa na tupate kodi.
Sasa sijui ni kwa miujiza gani tunaweza tarajia manufaahuko tuendako. Shame!!
 
Hakuna jipya tz mwaka huu mambo ni yaleyale na hali itakuwa ngumu zaid na zaid kwa watz,no hope!
 
Magufuli hawezi kuubadilisha uchumi wa Tanzani. He can not.
Uwezo wake umeshafika mwisho
Nakumbuka Van Gaal aling'aa miaka flani,lakini kapewa kila kitu united na ulimi umemtoka,ni sawa na Magufuli,Mbinu zake ni kukariri Mabarabara na sio kusimamia familia za watu milioni 50.Kashindwa aletwe Antonio Conte,He cant deliver.
 
Apandishe madaraja aachie ajira aruhusu watu kuhama atoe nafasi kwa wanasiasa kufanya siasa.Adhibiti mianya ya rushwa atende haki bila kuangalia kabila wala chama mwaka 2017 utakuwa wa neema
 
Back
Top Bottom