Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,592
- 23,954
Ndicho atakachofanya sab alishasema ajira na stahiki zake ni kabla ya mwaka wa fedha kuisha
Ndicho atakachofanya sab alishasema ajira na stahiki zake ni kabla ya mwaka wa fedha kuisha
Ni kweli angekuwa lupango na lowassa wangekuwa manyapara kule jela sasa hivi.Sheria ya kumuweka ndani anayetamka kwamba Rais atakufa! Kwani sheria za kuwakamata waovu wote wezi, majangili, mafisadi, wanaonunua maboti uozo kwa mabilioni ya fedha, watoa rushwa na wapokea rushwa na wanaosaini mikataba mbali mbali nchi ya kifisadi HAIPO!? Mbona hawa hawakamatwi? Kulikoni?
Kama sheria za nchi zingekuwa zinafuatwa huyu aliyemo ndani ya Ikulu angekuwa lupango sasa hivi au ana kesi kubwa dhidi yake lakini kwa kuwa wanapindisha sheria za nchi mbali mbali sasa hivi katinga Ikulu na uongozi wake wa kulipuka na one man show government.
Ampe nani usukani Lowassa?
Ni kweli angekuwa lupango na lowassa wangekuwa manyapara kule jela sasa hivi.
Wakati tendo linafanyika na wewe umo ndani ya gemu huoni kama timu inafanya vizuri.
Mtajua uzuri wa Magufuli baada ya yeye kuitengeneza Tanzania kwa watanzania wajao. Kizazi hiki kimeishi kwa mazoea muda mrefu hivyo si rahisi kusupporr mtu anayeyaondoa mazoea na kuleta uwajibikaji, ukweli na uhalisia wa maisha.
Bito injini iko nyuma!
Naona naye ataacha uvundo wake!!Subiri muda wake kikatiba ukiisha ataenda kupumzika lakini amepambana na mauvundo mengi duuh
Weeeeee koma, hapa atashika MajaliwaTumuweke lowassa
Kama hujui viti bora ukawa kama mimi asee,..Hata kama kaitaja siku ya kufa! Kwani Lema ni Mungu akisema Rais atakufa siku fulani basi ni kweli atakufa siku hiyo!? Acheni kutetea sheria za kidikteta za kuwatia ndani watu ambao hawana hatia yoyote ile. Hivi akitoka ABC akitamka Chikundi atakufa kesho naye atakamatwa!? Kwa sheria ipi!? Ya kutisha kukuua wewe!? Na je kesho ikipita hujafa huyo jamaa kosa lake litafutwa ama litaendelea kuwepo?
Wanaostahili kuwa vifungoni wezi, majangili, mafisadi wanaokwiba mabilioni ya pesa, wanaosaini mikataba ya hawaguswi. Mnaenda kumkama mtu kwa kusema tu Rais atakufa! Nchi hii ina laana ya Mungu kwa manyanyaso ya hali ya juu dhidi ya raia wasio na hatia zozote zile.
Kama hujui viti bora ukawa kama mimi asee,..
Hujui pita tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atahamia kwenye saburi lako ndio karibu kuliko mogadishu
Duh hata wewe?Same sh*t,different toilet.....
HahahaaahaaaaaaaAtahamia kwenye saburi lako ndio karibu kuliko mogadishu
Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana maana huwa tunakuwa watu wakulishwa ahadi kila siku bila kuhoji zinaishiaga wapiMwaka huu mpya 2017 utakua mwaka wa Tanzania mpya kwa wananchi wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote, wafanyakazi na wafanyabiashara wote
heri ya mwaka mpya wa amani na amesema utakua mwaka mzuri katika huduma mbalimbali na maboresho mbalimbali.
Chanzo: Mtanzania