Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

Magufuli: 2017 Mwaka wa Tanzania Mpya

Hata kama kaitaja siku ya kufa! Kwani Lema ni Mungu akisema Rais atakufa siku fulani basi ni kweli atakufa siku hiyo!? Acheni kutetea sheria za kidikteta za kuwatia ndani watu ambao hawana hatia yoyote ile. Hivi akitoka ABC akitamka Chikundi atakufa kesho naye atakamatwa!? Kwa sheria ipi!? Ya kutisha kukuua wewe!? Na je kesho ikipita hujafa huyo jamaa kosa lake litafutwa ama litaendelea kuwepo?

Wanaostahili kuwa vifungoni wezi, majangili, mafisadi wanaokwiba mabilioni ya pesa, wanaosaini mikataba ya hawaguswi. Mnaenda kumkama mtu kwa kusema tu Rais atakufa! Nchi hii ina laana ya Mungu kwa manyanyaso ya hali ya juu dhidi ya raia wasio na hatia zozote zile.

Ametaja siku ya kufa sio kusema atakufa. Kusema atakufa sio kosa kwa sababu kila mtu duniani atakufa infact kila kiumbe kitaonja mauti bali kumtajia mtu siku ya kufa ni sawa na kutishia kuua. Halafu ngoja nikurekebishe ulivyosema HAKUNA SHERIA YOYOTE YA KUMFIKISHA MAHAKAMANI KWA KOSA....... kwa kawaida kesi zote zinazopelekwa mahakamani kuanzia mahakama ya mwanzo mpk mahakama kuu lazima ziendane na sheria za kanuni ya adhabu za nchi na zina majina yake kwahiyo haiwezekani kwa namna yoyote kupeleka kesi mahakama yoyote ambayo haimo kwenye kanuni za adhabu haiwezekani kabisa hata wanabambikiziwa kesi wanapewa kesi ambazo zipo kwenye kanuni ya adhabu isipokuwa wanakuwa hawajafanya kosa husika kwa maana hiyo hakuna malalamiko ya lema kuonewa au kubambikiwa kesi kutoka kwa mawakili wake bali malalamiko yao ni zuio la dhamana kutoka kwa DPP ambalo ni la kisheria kabisa lkn linaweza kupingwa kwa kukatiwa rufaa mahakama kuu au mahakama ya rufaa ndicho kinachofanywa na mawakili wa lema kwa sasa . Nadhani hapo umepata darsa kidogo la kisheria kama una kitu kingine cha kisheria unataka kujua kuhusu kesi ya lema karibu.
 
Mungu naye yupo bize....Kuna watu ambao dhahiri ilibidi awachukue mapema wakadeki mabanda ya kuku huko mbinguni...kuwapa uongozi hapa duniani ni aibu,hata mungu mwenyewe anatushanhangaa!
Shubaaamit!
Unadhani jamii forum ni mbali sana?! Usitafute mtu wa kumlaumu baadae.
 
Ukishaona Rais haweki kipaumbele kwenye Elimu na walimu,kilimo na ufugaji,umeme maji na afya,madini na biashara ujue hamna jipya!
Elimu imedoda hasa sayansi na technolojia na maabara kazipotezea.pesa ya elimubure ingeboresha mashule kupata maabara,library na vyoo kwanza.
Kilimo na ufugaji, wanakimbizana wakulima na wafugaji huku wakitumia elimu duni,teknolojia dhaifu na ubahatishaji Wa mvua na lishe.
Umeme,maji na afya. Tanesco hawajielewi wanapoenda,maji Safi ni lulu hasa vijijini mabomba nitokaenzi za mkoloni na afya na matibabu ni kitendawili,hata chanjo kwawatoto inatushinda.
Madini na biashara, hakuna mabadiliko yoyote yamanufaa kwenye sekta ya madini yanayozidi kuisha Pia biashara zinaanguka na zinafanyika kiholela bila mifumo ya kuzitambua na kuzisaidia kukuwa ili tushindane kimataifa na tupate kodi.
Sasa sijui ni kwa miujiza gani tunaweza tarajia manufaahuko tuendako. Shame!!
Siasa za kipuuzi huwa zinaponza.
 
Toka ile bei elekezi ya sukar aliyotungazi ya 1800/= kumbe ni uwongo, sugar sasa ni 2500/= kwaiyo sitamuamin kabsa
 
Tanzania mpya gani wakati tumbua tumbua isiyo na msingi bbado anaendelea nayo
 
Usisubiri miujiza hama nchi tu
14962596_947478462025535_5973959046330243933_n.jpg

chikundi acha vituko...kama dereva hajui tunakoelekea, kwa nini tusisubiri miujiza?​
 
Hata kama kaitaja siku ya kufa! Kwani Lema ni Mungu akisema Rais atakufa siku fulani basi ni kweli atakufa siku hiyo!? Acheni kutetea sheria za kidikteta za kuwatia ndani watu ambao hawana hatia yoyote ile. Hivi akitoka ABC akitamka Chikundi atakufa kesho naye atakamatwa!? Kwa sheria ipi!? Ya kutisha kukuua wewe!? Na je kesho ikipita hujafa huyo jamaa kosa lake litafutwa ama litaendelea kuwepo?

Wanaostahili kuwa vifungoni wezi, majangili, mafisadi wanaokwiba mabilioni ya pesa, wanaosaini mikataba ya hawaguswi. Mnaenda kumkama mtu kwa kusema tu Rais atakufa! Nchi hii ina laana ya Mungu kwa manyanyaso ya hali ya juu dhidi ya raia wasio na hatia zozote zile.
Hiyo ni sheria ipo kwenye katiba anayevunja atashughulikiwa kama ni ya kidikteta dawa au suluhu yake ni kupambana kuiondoa sio kuivunja kwa sab ndiyo katiba halali kwa sasa.
 
Tafuta mogadishu yenye nafuu kama hamna jinyonge tu ukapumzike kwa amani.
Kwakuwa kwenye Imani yenu mnafundishwa kujinyonga na kujitoa Muhanga basi mnafikiri sote tunaamini kwamba hiyo ndiyo short cut ya kwenda akhera! Pole, endeleeni kujijonga ninyi wenyewe maana ndiyo Imani yenu.
 
Basi subiri umalizwe na ugumu wa maisha wa magufuli kumbe una nguvu ya kusustain karibu.
 
Sheria ya kumuweka ndani anayetamka kwamba Rais atakufa! Kwani sheria za kuwakamata waovu wote wezi, majangili, mafisadi, wanaonunua maboti uozo kwa mabilioni ya fedha, watoa rushwa na wapokea rushwa na wanaosaini mikataba mbali mbali nchi ya kifisadi HAIPO!? Mbona hawa hawakamatwi? Kulikoni?

Kama sheria za nchi zingekuwa zinafuatwa huyu aliyemo ndani ya Ikulu angekuwa lupango sasa hivi au ana kesi kubwa dhidi yake lakini kwa kuwa wanapindisha sheria za nchi mbali mbali sasa hivi katinga Ikulu na uongozi wake wa kulipuka na one man show government.

Hiyo ni sheria ipo kwenye katiba anayevunja atashughulikiwa kama ni ya kidikteta dawa au suluhu yake ni kupambana kuiondoa sio kuivunja kwa sab ndiyo katiba halali kwa sasa.
 
Back
Top Bottom