Magodoro ya sita kwa sita yavunja ndoa.

Magodoro ya sita kwa sita yavunja ndoa.

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Habarini wanajamiiforums juzi kati nilikuwa kwenye sherehe fulani ya harusi ,kama kawaida kwenye sherehe lazima kuwe na kutoa zawadi ,ilipofika muda huo kuna kamati moja iliwatolea maharusi zawadi ya godoro la sita kwa sita nikasikia MC akiwasimamisha wale wanakamati na kuwambia godoro za sita kwa sita siku hizi haziruhusiwi kwenye harusi kwa kuwa zinasababisha kuvunja ndoa za watu na kushauri godoro lile litumike kwa ajiri ya wageni,hivi wakuu kuna ukweli hapo? TOENI MTAZAMO WENU.
 
Sasa wewe ulikuwa kwenye sherehe unatuuliza sisi tena? Kwa nini hukumuuliza MC?
 
Huu ukweli kabisa, kama mnafanya kazi ofisi tofauti unaweza isha mwezi hamgusani kabisa, kweli sasa godoro la futi mbili na nusu ndo mpango mzima
 
Ningependa sana! Tena sana kupata maoni kutoaka kwa wahusika. Wengine hatuna hadhi ya kutoa maoni juu ya mada hii.
 
Kwa hiyo sita kwa sita itavunja ndoa kwa kuwa ni rahisi kujibidua mzungu wa nne.
 
Hamna ukweli wowote.
Hebu angalia maelezo ya MC anavyosema " godoro za sita kwa sita siku hizi haziruhusiwi kwenye harusi kwa kuwa zinasababisha kuvunja ndoa za watu na kushauri godoro lile litumike kwa ajiri ya wageni".
Kwani hao wageni sio wanandoa, au hawataoa.
Saa nyingine mtu anafanya maamuzi kama hayo ile apewe yeye hlo godoro.
 
Ckwel kwan mkishare rum moja tayar kila ki2 knaenda sawa then how bed contribute to Love break?
 
Hamna ukweli wowote.
Hebu angalia maelezo ya MC anavyosema " godoro za sita kwa sita siku hizi haziruhusiwi kwenye harusi kwa kuwa zinasababisha kuvunja ndoa za watu na kushauri godoro lile litumike kwa ajiri ya wageni".
Kwani hao wageni sio wanandoa, au hawataoa.
Saa nyingine mtu anafanya maamuzi kama hayo i
le apewe yeye hlo godoro.


:becky:
 
Alitaka kufurahisha tuu huyo MC mnaweza kulala kwenye godoro la futi 2 na unamuomwenzio kama kituko,kwa tafrani za nafsi,naukalala kwenye sita kwa sita pakawa hapatoshi kwa rahaaa...mpaka mnaanguka..
 
Back
Top Bottom