Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
245
248
Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia.

Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu.

Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii.

Wito wangu wafanyabiashara tuendelee kuwezekeza Mbeya, pesa IPO.
 
Gorofa za Mbeya au sio?
 
Tz miundombinu inayotakiwa kuboreshwa ni barabara za binadamu na maji ya mvua. Ghorofa zimezungukwa na barabara za tope, mvua ikinyesha ni mafuriko.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi mkuu.Kwa Sasa Jiji la Mbeya linaonesha taswira ya Mji unaokua tofauti na zamani.

Magorofa yanaota Kila mwaka ,pesa zipo tena ni ya watu binafsi sio Serikali kama huko wanakopendelewaga .

Baadhi ya viota vipya Jijini πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nashukuru Kwa kutuwekea picha baadhi ya majengo. Mbeya Sasa maghorofa Kila mahali. Wanaopita HIGH WAY Mbeya to Zambia hawawezi kuona vizuri jiji linavyokuja Kwa Kasi. Sasa hivi maghorofa yapo mpaka vichochoroni. Tulia akifikisha miaka 10 Mbeya itakuwa level nyingine kabisa.
 
Mbeya ni kama kijiji kikubwa sana... Mwanjelwa ni pazuri kiasi na pame changamka kuliko hata Mbeya mjini... Mji mzima una ghorofa 1 tu refu kuliko yote nalo la wale masela NSSF.
 
Pole sana kaka hizo picha kama Kinyerezi tu! Maneno yote hayo ni kujifariji tu mji wenu bado sana!
 
Pole sana kaka hizo picha kama Kinyerezi tu! Maneno yote hayo ni kujifariji tu mji wenu bado sana!
Sawa kabisa ila usisahau kwamba Mbeya ni Kati ya Mikoa 3 yenye uchumi wa over 10trilion.

Kinyerezi hapo ni town sana labda Inafanana na Kolomoje
 
Mbeya ni kama kijiji kikubwa sana... Mwanjelwa ni pazuri kiasi na pame changamka kuliko hata Mbeya mjini... Mji mzima una ghorofa 1 tu refu kuliko yote nalo la wale masela NSSF.
Mbeya Mjini ni wapi ? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mji unaoongoza kwa squatters wengi. Ni wa HOVYO mno, bora kuanzisha mji mpya kabisaaaa. Nakubaliana na aliyesema Mbeya ni Kijiji Kikubwa!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…