VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Mkuu kwa kuangalia Semantics baada ya Swali la TANMO kuna neno linasema JIBU LANGU sasa huoni kuwa hilo jibu linatoka kwa mlengwa.. ambaye ndie anajibu shutuma au ? kama sio hivyo basi kuna impostor ambaye anajifanya yeye ndio muhusikaHii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!
Hii habari Maggid aliileta hapa na sio yeye alieipost kule kwa shigongo sisi wenye majina halisi tutakoma kujibishana na maroboti!
Not only that habari baada ya message ya Tanmo inasema Jibu Langu..., sasa jibu langu jibu la nani???Si kweli....Majidi ana platform kule kwa Shigongo..NIMEMSOMA MARA NYINGI TU....unataka kusema nani kapeleka hii khabari kule kama si yeye mwenyewe?
Hii ishu ilikuwepo hapa kabla ya kuwekwa kule global, na sioni tatizo lolote la yale aliyoandika.
jiran yang majjid anazingua sasa, hana msimamo sijawai kuona mwanaume anayekimbia matatizo c abak tosolve kiume na kii intelligency humu humu ndani na c kuyatoa nje mi nahis hata matatizo ya ndoa yake huwa anayatoa nje............Hivi wewe Mggid mbona unaenda kujibia maswali ya JF kule kwa Shigongo?
Why dont you Put your views here yaishie hapa.
Achana na mambo ya kwenda kwenye Forum nyingine na kusema kule JF wako hivi na Vile?
Hebu wadau pitieni hapa Chini.
Kuna Wanaofikiri; Maggid Mjengwa Ni.... - Global
Publishers
Kwani ikipelekwa kule kuna kosa gani? hivi mbona nyie watu mnatabu sana mnagubu kama ndugu wa mume...................khaaaaaaaaaaa
When it comes to political journalism, Mjengwa has credits from me. Ila kupeleke mambo ya JF kule kwenye udaku ambapo hakuna intergrity yoyotey ya uandishi anakuwa anaaksi (reflect) his true self! NI KATI YA WALE WANAOJIFIKIRIA KUWA NA STATUS KWENYE SOCIETY. Hivi ni nani hapa atkosa usingizi kama Mjengwa ni mpagani, mjahidina, mlokole, cuf, ccm au awepo awepo tu?
When it comes to political journalism, Mjengwa has credits from me. Ila kupeleke mambo ya JF kule kwenye udaku ambapo hakuna intergrity yoyotey ya uandishi anakuwa anaaksi (reflect) his true self! NI KATI YA WALE WANAOJIFIKIRIA KUWA NA STATUS KWENYE SOCIETY. Hivi ni nani hapa atkosa usingizi kama Mjengwa ni mpagani, mjahidina, mlokole, cuf, ccm au awepo awepo tu?
Na kama una presha ya kupanda na kushuka unakufa kabisa.....lol!!haya kama ni mwaume unasutwa hivi unaweza kufa au kukimbua umujamvini kwaherini