Sasa huyo anamfahamu,alimchukulia hatua gani??au ndio anaogopa jwtz..?Sana sana n ule utapeli wa kudanganya watu watawafanyia mpango wa ajira Kuna dogo aliahidiwa atafanyiwa mpango aingie jwtz na mtu anae mfaham kabsa ni muajiriwa wa jeshi hilo akapigwa 200k na elf hamsin hamsin za kutosha na mwsho wa siku bad hajauona hata uelekeo wa kwenda jkt nilimtahadharisha mapema lakin dogo na mamake hawakuniamin wakafikir namuonea wivu mtt wao
Huna haja ya kuwaonea huruma watu wajinga wajinga,wacha waliwe pesa zao.Sana sana n ule utapeli wa kudanganya watu watawafanyia mpango wa ajira Kuna dogo aliahidiwa atafanyiwa mpango aingie jwtz na mtu anae mfaham kabsa ni muajiriwa wa jeshi hilo akapigwa 200k na elf hamsin hamsin za kutosha na mwsho wa siku bad hajauona hata uelekeo wa kwenda jkt nilimtahadharisha mapema lakin dogo na mamake hawakuniamin wakafikir namuonea wivu mtt wao
Imenikumbusha maumivu mwaka 2002,baada ya chuo,katika kutafuta ajira niliunganishwa na mjeda mmoja kitaa,anisaidie kuingia jeshini, nikaishia kutapeliwa laki mbili,Sana sana n ule utapeli wa kudanganya watu watawafanyia mpango wa ajira Kuna dogo aliahidiwa atafanyiwa mpango aingie jwtz na mtu anae mfaham kabsa ni muajiriwa wa jeshi hilo akapigwa 200k na elf hamsin hamsin za kutosha na mwsho wa siku bad hajauona hata uelekeo wa kwenda jkt nilimtahadharisha mapema lakin dogo na mamake hawakuniamin wakafikir namuonea wivu mtt wao
Hajamchulia hatua yoyote wanadai wanaundugu nae mimi inanishangaza sana mtu haoni hata aibu kuwatapeli watu wa karibu hata kama ni familia rafiki na siyo undugu wa damu lakin yule jamaa ni mtu bure kabisa nilianza kumshtukia baada ya kula 200k ya dogo alaf akaanza kuomba na hela zingine zingine mara kwa Mara alimfanya dogo kama mradi wakeSasa huyo anamfahamu,alimchukulia hatua gani??au ndio anaogopa jwtz..?
Yani mtu anamtapeli mtu anaefahamiana nae hata aibu haoni mwsho wa siku anazid kumpotezea muda na kumuondoa kabsa kwenye raman kwa matarajio ya kupata kaz kumbe kuongezeana umaskin aise ingekua mm ningempa hela ya MotoImenikumbusha maumivu mwaka 2002,baada ya chuo,katika kutafuta ajira niliunganishwa na mjeda mmoja kitaa,anisaidie kuingia jeshini, nikaishia kutapeliwa laki mbili,
Ila Kuna jamaa yangu alisaidiwa akaingia JKT,baadae akapata kazi Takukuru,
Nilichojifunza kama huyo mjeda sio ndugu yako,Tena ana cheo Cha chini,Sio nyota,achana nae utaumia tu
Matapeli wakikuletea mchongo wanasisitiza uwe msiri kwakua wamekupa a lifetime opportunity so usitangaze tangaze.Kuepukana na utapeli na matapele kuwa msiri na usimuamini yoyote utakuwa salama.
Iripoti fasta kupitia 15040 .. Shiriki hii kanpeni ya kutokomeza utapeli mitandaoni kupitia mawasiliano ya simuWamenipigia leo asubuhi na namba ya halotel afu wanasema wanapiga kutoka vodacom makao makuu !
Namba ya tapeli hii +255 678 889 631
Haya magenge huwa kati ya watu wawili mpaka watanoKwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa.
Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa kada tofauti ikiwemo watu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama
Share story yako hapa.