Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

U can fool some people some time but u can't fool all the people all the time..............magazeti uloyataja ni kweli yanamsafisha lowasa kwenye matope ya uongo wenu mliompakaza kwa miaka mingi....yanasimamia ukweli na kutuambia ukweli.Mmeumbuka Kwa uongo wenu.
 
Yaani umeamua kuacha kutumia UBONGO wako kufikiri na kutumia magazeti kufikiria?

Duh! haya bana acha magazeti yaendelee kufikiri kwa niaba yako

Watu wengi hawaelewi jinsi media inavyotumika kutengeneza public perception on something. Professional mass communicators wanajua jinsi media inavyoweza kutumiwa kwenye misinformation ii ku-influence jamii in a particular way. Fisadi Lowassa anajaribu sana kutumia media ionekane kuwa vita ya kujivua gamba si kupambana na ufisadi bali ni mfarakano wa mbio za Urais 2015 tu. Pia anajaribu kutumia media kujisafisha mbele ya jamii kuwa yeye si fisadi na hakuhusika na Richmond.

Lowassa anatumia mabilioni ya shilingi kujisafisha kupitia media na makanisa, ndio maana mwenendo wa magazeti mengi sasa yamebadilika na kuanza kumsafisha. Ukiwa makini unaweza kuona jinsi kwa miezi kadhaa sasa magazeti yaliyotajwa yamepoteza mwelekeo na kujikita kumsafisha Lowassa. HASAFISHIKI!!
 
kaka umesahau kujimilikisha ranch ya serikali kule Handeni
jengo la umoja wa vijana/UVCCM akiwa mlezi wake
Kuuzwa kwa TRC wakati akimweka mkurugenzi wa PSRC ili fungu lake liwe salama

Huyu Lowassa ni wa kumpeleka mahakamani fasta. Ana mali nyingi sana kuliko kipato chake halali. Nyingi ya mali hizi haja zi declare kwenye fomu za tume ya maadili, nyingine ziko kwa majina ya watoto wake. Sheria ya TAKUKURU iko wazi kuwa mtu kama huyu ni wa kumfikisha mahakamani na burden of proof itakuwa kwake yeye aeleze kazitoa wapi hizo mali. Akishindwa anakula mvua kadhaa na kutupwa Keko. Hii ndio dawa ya mafisadi kama Lowassa, si kuwaonea haya mpaka wanavuruga nchi namna hii.
 
Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Tuhuma zote hizi za ufisadi bado serikali inamchekea Lowassa? Peleka huyo mwizi mahakamani mara moja. Mahakama ndio itaamua kama Lowassa ni Jacob Zuma au Mobutu Sese Seko! Tusipoteze muda na Lowassamania, apelekwe kortini haraka! Kama huu ujinga utaendelea court of public opinion ambayo imeshamtambua Lowassa kuwa ni guilty itaanza kumpa adhabu ya kumpiga mawe popote anapoonekana hadharani
 
Ok tumekuelewa bwana "mwandishi wetu",kwa hiyo Lowassa kawachagua nyinyi kwa kuwa magazeti yenu yanasomwa zaidi na watanzania ili awe na wigo mpana wa kuwafikia hao watanzania na kuwa tumia nyinyi kuwapotosha sio...?

List of shame ya waandishi wa Tanzania wanaowalamba miguu mafisadi wa tanzania:

1:Said kubenea(huyu ana makubaliano maalum na lowassa binafsi)

2:Absalom Kibanda(huyu anasukumwa na njaa ya maendeleo ya haraka)

3😀eo Balile(huyu anatembea na ahadi ya mwandishi wa habari wa rais mkononi)

4:Jackton Manyerere(huyu eti kumrithi salva rweyemamu ikulu)

5:Bakari Machumu(mwananchi,huyu sijui kimempata nini sijui au ndio hiyo war chest ya mafisadi,kubenea anajua zaidi hii kitu)

6:Muhingo Rweyemamu(huyu ndio yule aliowafukuza mwananchi ku cover kampeni za Jk uchaguzi uliopita)

7:..................................

8:.................................

Kinawauma nini wakiwasafisha, na nyie si mtafute yenu muendelee kuwachafua? kama kinawauma sana wapelekeni mahakamani!
 
Asante kwa kuweka mambo wazi, watetezi wa fisadi Lowassa wote wamefyata sasa. Huyu mpenda mali za wizi ni lazima afikishwe mahakamani haraka aache kuivuruga hii nchi yetu ya amani na utulivu.

Ndo maana Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuomba omba ikipitwa tu na Iraq na Afganistan, ndo maana biashara zote zimekamatwa na wageni, mtanzania akisave akakopa akawekeza mnamwita fisadi! Poleni wabongo! Endeleeni kuwa ombaomba! Kila siki Lowasa lowasa, madini yanachukuliwa, Twiga wanakwenda nyie mnalia na Lowassa, hamna tofauti na kipofu aliyeona Tembo kwa mara ya kwanza akabaki kuamini kuwa hakuna kitu kikubwa kama Tembo!
 
Mwanahalisi sio gazeti bali ni toilet paper kwa sasa na wala haliandikwi na kubenea linaandikwa na anton komu ambaye ndie mmiliki wa hilo gazeti na akisaidiwa na Dk slaa kwa nia ya kuhakikisha rais anatoka kaskazini baada ya kuona slaa hawezi kuwa rais ndio maana kwa sasa wanamchafua zitto na sitta.wadanganyika kweli tunashida na vyombo vya habari hasa mavuvuzela wa chadema ambao wanazani mwanahalisi ndio gazeti la kweli.
 
Mnasemaje kuhusu kundi kubwa la WANASIASA ndani ya CCM na SERIKALI yake wanaomuunga mkono EL? Je, watendaji wakuu kwenye TAASISI mbalimbali za serikali ambao kwa namna moja au nyingine walifika hapo walipo kwa mkono wa Lowasa?
HAKUNAGA kama Lowasa kwa sasa kwenye siasa za nchi hii baada ya Mwalimu kufariki!
Kama kuna mwislamu ndani ya CCM wala hasijisumbuwe kuanza harakati za ugombea Uraisi, hii ni zamu ya wakristo ndani ya CCM, tena wa kutoka kaskazini, mwenye notebook na aliandike hili.
 
Mwanahalisi sio gazeti bali ni toilet paper kwa sasa na wala haliandikwi na kubenea linaandikwa na anton komu ambaye ndie mmiliki wa hilo gazeti na akisaidiwa na Dk slaa kwa nia ya kuhakikisha rais anatoka kaskazini baada ya kuona slaa hawezi kuwa rais ndio maana kwa sasa wanamchafua zitto na sitta.wadanganyika kweli tunashida na vyombo vya habari hasa mavuvuzela wa chadema ambao wanazani mwanahalisi ndio gazeti la kweli.
Ukiangalia Joining date zao na ni mada zipi huwa wanachangia, ni rahisi sana wa kuwagunduwa mamluki waliokuja kutualibia Forum yetu. huyu ni kibaraka for sure.
PAA
Today 15:27
#128 Junior Member Array

Join Date : 25th November 2011

Posts : 5

Rep Power : 0
 
Nadhani hakuna gazeti linalo muandika Lowsa kama la kubenea. Naona mtoa mada amesahau kuwa tunatambua kuwa yeye ni kambi nyingine maana, kuna magazeti kama mzalendo,Uhuru,Habarileo na TBccm hivi vyote vinasafisha kambi nyingine
 
Uko sahihi, Kubenea anajitahidi kuwashughulikia bila kujali urafiki japo anateleza sana sometimes. Ila jamaa ni bonge la mjanja na ana vyanzo.
 
Hahahah..acha nicheke mie, eti kiwira tuu. Kweli nimeamini ukipenda kipofu waweza kuita chongo.
Unataka kujua ufisadi wa Nkapa?
Kuna kiwanda cha Mtibwa, NBC ,Tanesco kwa kale ka kampuni alikokaleta toka south... Want some more?

Acha ujinga wewe, Hayati Mwl. Nyerere alipokuwa anampigia debe Mkapa alikuwa msafi. Kashfa pekee ya Mkapa ni mradi wa Kiwira. Kashfa hii aliipata baada ya kuwa Rais, tena ktk kipindi chake cha pili cha uongozi. Tatizo lenu nyie mafisadi ni mahodari sana wa kubadilisha maneno.
 
wewe jamaa uwa unanichefua sana na kumkumbatia lowassa ukiwa na avatar ya mpiganaji kama Tom...thats disgrace kama unapenda Africa, umemsoma Tom unajua historia unajua Tz imetoka wapi na inaelekea kwenye neema au shimo gani ikiwa na Rais huyu au yule basi Lowassa ni mtu wa mwisho kabisa kumpigia debe...fikiri otherwise una undugu nae

Pole sana Mkuu kwa kuchefuka ila nadhani hujatapika. Ni kweli Captain Thomas Isidore Noel Sankara alikuwa mpiganaji na mpenda Africa na kuwajali watu wake huko Upper Volta; ni mtu ambaye namheshimu sana. RIP. Kwa upande mwingine nikuhakikishie kwamba historia ya Tanganyika na Tanzania naijua vizuri sana. Pia sina undugu na Lowassa na wala sijawahi kumuona kwa karibu zaidi ya TV na Magazeti tu.

Tatizo langu kuhusu huyu mtu ni kwamba watu wanapiga kelele kwamba ni fisadi lakini mbona hafikishwi mahakamani? Watu wanatoa tu maelezo kwamba ana vitega uchumi vingi kwani kuwa na vitega uchumi vingi ndio ufisadi? Hivi amekaa wizara gani ambapo huenda alikuwa na nafasi ya kuingia mikataba minono kwa niaba ya nchi?

Mimi naona afadahli yeye vitega uchumi vyake vipo nchini na ndugu zetu wanapata kazi kuliko watu wanaokwapua utajiri wa nchi na kwenda kuwekeza huko kwa wazungu ama kwa makaburu.
 
Tuhuma zote hizi za ufisadi bado serikali inamchekea Lowassa? Peleka huyo mwizi mahakamani mara moja. Mahakama ndio itaamua kama Lowassa ni Jacob Zuma au Mobutu Sese Seko! Tusipoteze muda na Lowassamania, apelekwe kortini haraka! Kama huu ujinga utaendelea court of public opinion ambayo imeshamtambua Lowassa kuwa ni guilty itaanza kumpa adhabu ya kumpiga mawe popote anapoonekana hadharani

nani ampeleke sasa? na kwa nini mpaka sasa hajapelekwa?
 
Ndo maana Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuomba omba ikipitwa tu na Iraq na Afganistan, ndo maana biashara zote zimekamatwa na wageni, mtanzania akisave akakopa akawekeza mnamwita fisadi! Poleni wabongo! Endeleeni kuwa ombaomba! Kila siki Lowasa lowasa, madini yanachukuliwa, Twiga wanakwenda nyie mnalia na Lowassa, hamna tofauti na kipofu aliyeona Tembo kwa mara ya kwanza akabaki kuamini kuwa hakuna kitu kikubwa kama Tembo!

he! mzungu si fisadi eti!
 
Uko sahihi, Kubenea anajitahidi kuwashughulikia bila kujali urafiki japo anateleza sana sometimes. Ila jamaa ni bonge la mjanja na ana vyanzo.

contradiction!! you need Logical Thinking 101
 
Acheni kutuchezea akili zetu, we unatuambia kama nani?? Kwani sisi hatuyasomi hayo magazeti!!!???? Bongo bwana kila kukicha linaibuka jambo..............fanya kazi usilete ujinga wako hap, kila mmoja anasoma magazeti na anao uwezo wa kuchambua habari ipi ni sahihi na ipi si sahihi bila kujali imetoka kwenye gazeti gani
 
Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Ushahidi wa kuwa Doudle agent ni fisadi huu hapa

1. Yuko kambi ya Membe na anapokea sent za membe ifor 2015
2. Double agent alipokuwa katibu wa CCM mkoa wa DSM, alijipatia tenda nyingi kupitia cheo chake
3. double agent anahusika kwenye mikataba ya kilaghai na kuliingizia taifa hasara kubwa, maduka na viwanda vyake vinaanza kwa herufi DA, na

YMBSTBT!
 
Kwa msomaji wa kawaida, ni vigumu kujua moja kwa moja kuwa kuna baadhi ya magazeti Tanzania, tena yale yaliyokuwa yanadhaniwa kuwa ni huru na yanayopambana na ufisadi, sasa yanamtumikia Lowassa kwenye mradi wake batili wa kujaribu kujisafisha. Sisi waandishi wa habari tulio kwenye profession hii hapa Tanzania tunajua wazi nani anatumiwa, habari ipo imetengenezwa na nani kapewa shilingi ngapi.

Si siri kuwa wahariri na wamiliki wa baadhi ya magazeti Tanzania wako kwenye payroll ya Lowassa na Rostam Aziz na wanaendelea na kazi ya kumsafisha. Ni aibu lakini kweli.Jukwaa la Wahariri (Editors' Forum) iko chini ya himaya ya Lowassa, kwani mwenyekiti wake, Absalom Kibanda wa Tanzania Daima na katibu wake, Nevile Meena wa MWANANCHI, wote ni watumishi wa Lowassa kwenye mradi wake wa kujaribu kujisafisha na tuhuma nzito za ufisadi ambazo kamwe hazitomwacha.
 
nani ampeleke sasa? na kwa nini mpaka sasa hajapelekwa?

Apelekwe na TAKUKURU, hawajampeleka kwa kuwa Rais Kikwete hayuko serious kupambana na ufisadi. Kikwete hana ubavu wa kuwashitaki viongozi wa zamani (Rais na Waziri Mkuu) kwa kuwa anaogopa na yeye akistaafu baada ya 2015 anaweza kushitakiwa. Anaogopa ku set precedent. Ukweli ndio huo, Lowassa ni fisadi anastahili kupelekwa mahakamani akajisafishe huko kama hana hatia. Abuse of public office kuhusu Richmond na kuwa na utajiri usioelezeka zingempeleka Ukonga huyu fasta fasta.
 
Back
Top Bottom