Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

romantic umejipanga sana unajua hili la Lowassa,CDM na Zitto kua kwenye cabinet ikiwezekana PM..hapa ndiyo unafiki wa CDM unakua nje nje
Iko hivi,Mpango lowassa asimame kugombea urais na mboe or whatever huko chadema(slaa hatogombea tena)then baada ya uchaguzi lowassa atashinda kwa ushindi mwembamba mno,chadema watagomea matokeo kwa kuwa wataibiwa sana,lowassa ili kujijenga kisiasa(strategy)ili atawale kirahisi atawaita cdm ikulu,watakunywa chai kama ile ya juzi na tu juice kidogo,then atawaambia hii ni nchi yetu sote naomba mnisaidie kuitawala tutawale pamoja hakuna haja ya kugombana...then lowassa ataibuka shujaa kwa kuleta maridhiano na kumfunika jk ambae itaonekana mgogoro na cdm ulimshinda lowassa kauweza,zitto naibu waziri mkuu,chadema kwishney.....kama cuf zenj!
 
Watanzania Wenzangu, Chonde Chonde, Msipende kupoteza muda kujadili WATU. Tufikirie namna ya kuondokana na Umaskini tulio nao kwa Kufanya MAPINDUZI ya kweli kwenye fikra na MITIZAMO yetu juu ya mustakabali mzima wa Taifa letu. Namna ya kuondokana na SERA dhalimu za utawala uliopo ambao unawaweka nyie kujadili watu badala ya MAISHA YENU.
 
U can fool some people some time but u can't fool all the people all the time..............magazeti uloyataja ni kweli yanamsafisha lowasa kwenye matope ya uongo wenu mliompakaza kwa miaka mingi....yanasimamia ukweli na kutuambia ukweli.Mmeumbuka Kwa uongo wenu.
ukweli gani wa kununuliwa wewe?!!usiwe mjinga kama Lowassa!
 
Kwa mtu yoyote makini, ukisoma magazeti ya Tanzania unaona kabisa yako upande gani. Uweledi kwenye uandishi wa habari Tanzania na kufanya kazi bila woga wala upendeleo hakuna kutokana na njaa kali ya waandishi wa habari na wengi wao kutokwenda shule.

Ndiyo maana magazeti haya mengi yalitumika kujenga hisia kuwa fisadi Lowassa ni victim wa vita ya Urais ya 2015, kumbe ukweli unabaki palepale kuwa huyu ni mtuhumiwa mkubwa wa rushwa. Lazima afukuzwe kwenye chama na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma zake.
mkuu kwa nini asifikishwe tu mahakamani? au unataka kutuaminisha kwamba ana kinga ya chama hii inaweza kumaanisha kwamba wanaoshitakiwa wote si wanachama wa chama cha mafisadi sio?
Mi nadhani serikali kupitia usalama wa taifa/dpp/dsi/pccb wanaliangamiza taifa kwa kuweka maslahi ya chama mbele kuliko maslahi ya taifa kwa ujumla wake na hili ndilo gonjwa ambalo kila mtz mwenye uchungu na nchi anatakiwa kulipigia kelele ili lisikike na kubadilishwa.
Namaanisha tuweke misingi/mifumo ambayo itakuwa independent kuweza kufanya chochote kwa yeyote bila kuogopa mtu ambaye ni mwanachama ya chama kinachoongoza serikali wala fedha za mtu husika.
 
Ndo maana Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuomba omba ikipitwa tu na Iraq na Afganistan, ndo maana biashara zote zimekamatwa na wageni, mtanzania akisave akakopa akawekeza mnamwita fisadi! Poleni wabongo! Endeleeni kuwa ombaomba! Kila siki Lowasa lowasa, madini yanachukuliwa, Twiga wanakwenda nyie mnalia na Lowassa, hamna tofauti na kipofu aliyeona Tembo kwa mara ya kwanza akabaki kuamini kuwa hakuna kitu kikubwa kama Tembo!

Mkuu, ukija JF na mabandiko yako uje na data za kutosha pamoja na facts..

Hii sijui umeipata wapi Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuomba baada ya Afganistan na Iraq..

JF sio sehemu ya porojo kuna Great Thinkers, usiwe unaokota maneno vijiweni unaleta JF
 
Kinawauma nini wakiwasafisha, na nyie si mtafute yenu muendelee kuwachafua? kama kinawauma sana wapelekeni mahakamani!
Hapekwi mahakamani mtu hapa,yeye alipokuwa waziri mkuu mbona alikuwa anafukuza watu kazi kwenye tv,na yeye wajanja wenzake wanamchinjia baharini kwa sababu za kiintelijensia tu,yeye sasa kama anataka ndio aende mahakamani kujisafisha si anadai amechafuliwa sana sijui nini
 
Ushahidi wa kuwa Doudle agent ni fisadi huu hapa

1. Yuko kambi ya Membe na anapokea sent za membe ifor 2015
2. Double agent alipokuwa katibu wa CCM mkoa wa DSM, alijipatia tenda nyingi kupitia cheo chake
3. double agent anahusika kwenye mikataba ya kilaghai na kuliingizia taifa hasara kubwa, maduka na viwanda vyake vinaanza kwa herufi DA, na

YMBSTBT!

Sasa huo ni ushahidi au porojo? Tunafahamu fika kuwa humu JF kuna mamluki wamewekwa na Lowassa. Kazi yao kubwa ni kutoa matusi, kashfa na kujaribu kupotosha mwenendo wa mijadala kwa lengo la kuleta vurugu. Hamtafanikiwa! Watanzania wote wenye akili timamu hawamtaki wala kumhitaji Lowassa kwani ni mchafu wa kimaadili na Tanzania ina viongozi wengine wengi wanaofaa kuliko yeye. Atabaki kuwa "raisi" wa Richmonduli tu, si taifa la Tanzania ya Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere.
 
Kwa msomaji wa kawaida, ni vigumu kujua moja kwa moja kuwa kuna baadhi ya magazeti Tanzania, tena yale yaliyokuwa yanadhaniwa kuwa ni huru na yanayopambana na ufisadi, sasa yanamtumikia Lowassa kwenye mradi wake batili wa kujaribu kujisafisha. Sisi waandishi wa habari tulio kwenye profession hii hapa Tanzania tunajua wazi nani anatumiwa, habari ipo imetengenezwa na nani kapewa shilingi ngapi.Si siri kuwa wahariri na wamiliki wa baadhi ya magazeti Tanzania wako kwenye payroll ya Lowassa na Rostam Aziz na wanaendelea na kazi ya kumsafisha. Ni aibu lakini kweli.Jukwaa la Wahariri (Editors' Forum) iko chini ya himaya ya Lowassa, kwani mwenyekiti wake, Absalom Kibanda wa Tanzania Daima na katibu wake, Nevile Meena wa MWANANCHI, wote ni watumishi wa Lowassa kwenye mradi wake wa kujaribu kujisafisha na tuhuma nzito za ufisadi ambazo kamwe hazitomwacha.

Meena nae kawa mhariri siku hizi???du kweli hiyo tasnia yenu imeingiliwa siku hizi,yule dogo nae kawa mhariri kwa elimu ipi hasa?aahh sishangai sana bwana kama sed kubenea leo ni mhariri tena na mmiliki kabisa wa gazeti itakua meena
 
Ufisadi wa Lowassa huu hapa:

1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania

Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.

2. Ufisadi wa Nyumba ya Sanaa

Lowassa ni mhusika mkuu wa kufanya uporaji wa ardhi ya Nyumba ya Sanaa iliyopo karibu na Serena Hotel (zamani Movenpik Hotel). Nyaraka zinaonesha yeye ni mmiliki wa kampuni inayojenga gorofa kubwa kwenye eneo hilo la Nyumba ya Sanaa.

3. Utajiri usioelezeka (unexplained wealth)

Akiwa kama kiongozi wa umma, Lowassa amejilimbikizia mali nyingi sana za thamani ya mabilioni ya shilingi. Mali alizo nazo haziendani na kipato chake kama kiongozi wa umma. Sheria ya kupambana na rushwa Tanzania iko wazi kuwa kiongozi wowote wa umma mwenye utajiri usioendana na mapato yake halali anastahili kufikishwa mahakamani. Kutokana na sera za kulindana na kuogopana, Lowassa, Andrew Chenge, na viongozi wengine wa umma hawajafikishwa mahakamani kwa kosa hili na PCCB. Pia kwenye fomu za kila mwaka za kutaja mali, Lowassa haja declare assets zake zote. Ana miliki Alphatel, Alpha Schools, Alpha House, apartment blocks Dar es Salaam, Arusha na nje ya nchi.

4. Land grabbing

Alipokuwa Waziri wa Ardhi enzi za utawala wa Mwinyi alihusika na uporaji mkubwa wa ardhi sehemu mbali mbali nchini.

5. Richmond

Lowassa ndiye aliyeagiza TANESCO waporwe madaraka ya kusimamia tenda ya umeme kinyume na sheria ya manunuzi, PPRA. Aliunda kamati ya makatibu wakuu na kusimamia kwa karibu majadiliano ya kamati hii na nRichmond na kuagiza wapewe tenda wakati Tanesco waliikataa Richmond kuwa haifai. Lowassa ndiye mhusika mkuu wa kashfa ya ufisadi ya Richmond ndio maana alilazimika kujiuzulu.

6. Need I say more?

Lowassa ni mchafu wa maadili. Anapenda sana mali, amejilimbikizia utajiri kuliko kipato chake halisi. Wafuasi wake wanamfanananisha na Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Tofauti ya Zuma na Lowassa ni kuwa Zuma alifikishwa mahakamani na kusafishwa na mahakama. Lowassa apelekwe kortini kujibu shutuma za ufisadi, akishinda kesi ndio atakuwa amesafishwa kweli. Si kwa kutumia vyombo vya habari na waandishi wa habari wenye njaa.

Mamluki wa Lowassa mliopo humu JF, kamwambieni bosi wenu kuwa kazi imekuwa ngumu zaidi. Awaongeze posho, maana hamtalala usiku na mchana mkijaribu kuvuruga majadiliano huru humu JF bila mafanikio.

Mungu ni mwema, Mungu hapendi mafisadi. Mungu iepushe Tanzania na Lowassa, ataitafuna nchi ibaki majivu. Amen!

Apelekwe na TAKUKURU, hawajampeleka kwa kuwa Rais Kikwete hayuko serious kupambana na ufisadi. Kikwete hana ubavu wa kuwashitaki viongozi wa zamani (Rais na Waziri Mkuu) kwa kuwa anaogopa na yeye akistaafu baada ya 2015 anaweza kushitakiwa. Anaogopa ku set precedent. Ukweli ndio huo, Lowassa ni fisadi anastahili kupelekwa mahakamani akajisafishe huko kama hana hatia. Abuse of public office kuhusu Richmond na kuwa na utajiri usioelezeka zingempeleka Ukonga huyu fasta fasta.

hivi jamani kwanini isijitokeze taasisi yeyote isiyokuwa ya kiserikali ikamshitaki lowassa na sisi wapin ga ufisadi tukahamasishana hapa jf kuichabgia taasisi hiyo?kwanini tunamsubiri kikwete nae yuko katika mkakati ule ule wa kulindana?tumburuze mahakamani sisi wenyewe,wapi wanaharkati?au na nyie mmeshaingizwa kwenye payroll haramu????????????????
 
U can fool some people some time but u can't fool all the people all the time..............magazeti uloyataja ni kweli yanamsafisha lowasa kwenye matope ya uongo wenu mliompakaza kwa miaka mingi....yanasimamia ukweli na kutuambia ukweli.Mmeumbuka Kwa uongo wenu.
Good Comment, i like it kaka
 
PRIVATE PROSECUTION OF FORMER PM EDWARD LOWASSA

Umetoa wazo la maana sana mkuu. Kwa kuwa TAKUKURU hawawezi kumpeleka Lowassa mahakamani licha ya kuwa na ushahidi tosha dhidi yake for a water-tight criminal case (abuse of public office by hijacking tender process from TANESCO and awarding deal to Richmond contrary to PPRA legislation and illegal accumulation of vast, unexplained personal wealth) na kwa kuwa viongozi wengi wa upinzani Tanzania wamekuwa compromised na Lowassa na swahiba wake Rostam Aziz, wanaharakati wajitokeze kufanya private prosecution of Lowassa.

Although the AG and DPP's Office will probably try to block the move kutokana na sera ya serikali ya Rais Kikwete ya kulinda na kuogopa mafisadi, kitendo cha wanaharakati na raia wema wengine kutaka kufanya private prosecution ya Lowassa kitamuumbua fisadi huyu hatari na kutuma ujumbe mkubwa sana kwa Tanzania nzima kuwa MAFISADI SASA BASI!!

Tumetimiza miaka 50 ya uhuru, hatuwezi kuendelea na utumwa wa UFISADI. Not any more!!!
 
Sasa huo ni ushahidi au porojo? Tunafahamu fika kuwa humu JF kuna mamluki wamewekwa na Lowassa. Kazi yao kubwa ni kutoa matusi, kashfa na kujaribu kupotosha mwenendo wa mijadala kwa lengo la kuleta vurugu. Hamtafanikiwa! Watanzania wote wenye akili timamu hawamtaki wala kumhitaji Lowassa kwani ni mchafu wa kimaadili na Tanzania ina viongozi wengine wengi wanaofaa kuliko yeye. Atabaki kuwa "raisi" wa Richmonduli tu, si taifa la Tanzania ya Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere.

You see! ulichoandika wewe kila mtu anaweza kuandika na kuibuka kuwa shigongo...ushahidi uko wapi kwenye lile bandiko lako??

enough is enough! ndio maana nikamaliza kwa kusema YOU MUST BE STUPID TO BELIEVE THIS!!

Watanzania imefikia muda wa ukisema huyu fisadi na ukaunda story inakuwa hivyo...

1. hivi EL kaanza ufisadi lini?
2. Nani aliyempa uwaziri mkuu?
3. nani aliyempa ubunge?
4. baada ya tuhuma zote hizo nani aliyempa kuwa mwenye kti wa tume ya mambo ya nje?
5. nani anayemualika kwenye matamasha na akaweza kutoa michango?
6. hao wanaokula pesa zake ni akina nani?na kwa nini?

SOMA SIGNATURE YANGU UTAJUA NINASIMAMIA NINI

WE have wasted lots of time to point fingers.....mchafu huyu msafi yule...haya unafika kusema kuna mamluki!!! you are not mamluki...LOL!

Let me teach this only at this time..you are lucky!!

take this note...nchi hii ina mafisadi wa kutisha na wakubwa na kwa sasa hivi wanajichukulia fedha kwani akina nyie mmeishajiaminisha mwizi ni EL!!! ninakueleza na nina vithibitisho kuwa asilimia 90 ya watanzania ni mafisadi tena wachafu kabisa........

dawa ni kuindoa CCM yote na mizizi yake yote, ukinyoosha mikono kwa EL sawa!! do so lakini akitokea mtu kwenye sayari ya mars sasa hivi atatuona wote wajinga! swali hayo matano hapo juu yanapima na IQ yako pia!

with all those accusations OF YOURS still EL is free!! yet the problem is EL...YOU MUST BE JOKING!! grow up!! mnatumiwa bila kujua

CCM need to go haina msafi hata mmoja...ukimuona mmoja mweke hapa!!

some we are just thinking in another level than others ..it easy to call names but when I am taking time to clean virus in your brain you will get there!!!

halafu point of correction...bado unaonekana una unyerere...hivyo it is clear wewe ni CCM...ASK NYERERE where is Tanganyika??
 
U can fool some people some time but u can't fool all the people all the time..............magazeti uloyataja ni kweli yanamsafisha lowasa kwenye matope ya uongo wenu mliompakaza kwa miaka mingi....yanasimamia ukweli na kutuambia ukweli.Mmeumbuka Kwa uongo wenu.
Good Comment, i like it kaka
 
PRIVATE PROSECUTION OF FORMER PM EDWARD LOWASSA

Umetoa wazo la maana sana mkuu. Kwa kuwa TAKUKURU hawawezi kumpeleka Lowassa mahakamani licha ya kuwa na ushahidi tosha dhidi yake for a water-tight criminal case (abuse of public office by hijacking tender process from TANESCO and awarding deal to Richmond contrary to PPRA legislation and illegal accumulation of vast, unexplained personal wealth) na kwa kuwa viongozi wengi wa upinzani Tanzania wamekuwa compromised na Lowassa na swahiba wake Rostam Aziz, wanaharakati wajitokeze kufanya private prosecution of Lowassa.

Although the AG and DPP's Office will probably try to block the move kutokana na sera ya serikali ya Rais Kikwete ya kulinda na kuogopa mafisadi, kitendo cha wanaharakati na raia wema wengine kutaka kufanya private prosecution ya Lowassa kitamuumbua fisadi huyu hatari na kutuma ujumbe mkubwa sana kwa Tanzania nzima kuwa MAFISADI SASA BASI!!

Tumetimiza miaka 50 ya uhuru, hatuwezi kuendelea na utumwa wa UFISADI. Not any more!!!

TAMWA, Legal and Human Rights Centre (LHRC), TGNP, Agenda 2000, changamkieni hilo! Wapi Christopher Mtikila (ingawa huwa sometimes anatumiwa na mafisadi pia). Makongoro NYERERE, linda heshima ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, anzisha mchakato wa private prosecution of Edward Lowassa.

Tanzania inahitaji mashujaa!
 
PRIVATE PROSECUTION OF FORMER PM EDWARD LOWASSA

Umetoa wazo la maana sana mkuu. Kwa kuwa TAKUKURU hawawezi kumpeleka Lowassa mahakamani licha ya kuwa na ushahidi tosha dhidi yake for a water-tight criminal case (abuse of public office by hijacking tender process from TANESCO and awarding deal to Richmond contrary to PPRA legislation and illegal accumulation of vast, unexplained personal wealth) na kwa kuwa viongozi wengi wa upinzani Tanzania wamekuwa compromised na Lowassa na swahiba wake Rostam Aziz, wanaharakati wajitokeze kufanya private prosecution of Lowassa.

Although the AG and DPP's Office will probably try to block the move kutokana na sera ya serikali ya Rais Kikwete ya kulinda na kuogopa mafisadi, kitendo cha wanaharakati na raia wema wengine kutaka kufanya private prosecution ya Lowassa kitamuumbua fisadi huyu hatari na kutuma ujumbe mkubwa sana kwa Tanzania nzima kuwa MAFISADI SASA BASI!!

Tumetimiza miaka 50 ya uhuru, hatuwezi kuendelea na utumwa wa UFISADI. Not any more!!!

kwa nini??? you see thi contradiction?? ndio zile zile za double agent! CCM yote ni CORRUPT wewe!! grow up!!
 
Mamluki wa Lowassa mliopo humu JF, kamwambieni bosi wenu kuwa kazi imekuwa ngumu zaidi. Awaongeze posho, maana hamtalala usiku na mchana mkijaribu kuvuruga majadiliano huru humu JF bila mafanikio.

Mungu ni mwema, Mungu hapendi mafisadi. Mungu iepushe Tanzania na Lowassa, ataitafuna nchi ibaki majivu. Amen!

Mungu atawalaani tu mafisadi kama Lowassa kwa kudhulumu wananchi wa taifa hili.
 
Mamluki wa Lowassa mliopo humu JF, kamwambieni bosi wenu kuwa kazi imekuwa ngumu zaidi. Awaongeze posho, maana hamtalala usiku na mchana mkijaribu kuvuruga majadiliano huru humu JF bila mafanikio.

Mungu ni mwema, Mungu hapendi mafisadi. Mungu iepushe Tanzania na Lowassa, ataitafuna nchi ibaki majivu. Amen!

nadhani unatapatapa baada ya kuona kuna real GTs!! CCM wote wezi......tazama tena signature yangu....mnaosema huyu na kumuacha yule...inawezekana mnatumiwa ili EL awe shield na wengine waibe kwa kutumia kivuli chake

if you love Tz say CCM wote ni wezi !!!
 
Nikusahihishe,
mwananchi si GAZET PENDWA,
WACHA NIKUTAJIE MFANO WA MAGAZET PENDWA
RISASI,SANI,TUNU,KIU,UWAZI,HAMU, NA MENGINE YA AINA HIYO
Bila shaka wewe ni msanii wa filamu hawa wanaojiita bongo movie.
 
Back
Top Bottom