Magazeti nchini uingereza yamtangaza wanyama na sakata la mtaa

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,472
4,427
Gazeti maarufu nchini England la sun pamoja na daily mail na mengineyo yametangaza ndondo cup kwa Mara ya kwanza na kugusia sakata la wanyama kupewa jina la mtaa

9b7951f0b6087accd1f9fad224e875b0.jpg

f9b09acf9c26a6f7f5c70ff4f9f3719b.jpg
 
Yaani nabii hakubaliki kwao.
Wanyama maskini Tz'ans ndiyo tumeona tumpe jina la mtaa kwao hawana habari.

Samata akija bongo anaonekana mwana tu wa kawaida lakini kongo ilibidi gari aache mtaa wa nyuma na kutembea nyuma nyuma kwenda nyumbani ili kuwakwepa mashabiki
 
Unastuka nini si unatetea MaCCM eti BBC inawaripoti vibaya.
Umeona sasa Meya wa CDM na Lumumba nani mwenye IQ??
Angekua sammata sawa, sasa wanyama apewe jina la mtaa kwa lip alilolifanyia tz? Kwa kushirik ndondo cup ama? Huwez kumpa mtu jina la mtaa et kisa kahudhuria ndondo cup.
 
Yaani nabii hakubaliki kwao.
Wanyama maskini Tz'ans ndiyo tumeona tumpe jina la mtaa kwao hawana habari.

Samata akija bongo anaonekana mwana tu wa kawaida lakini kongo ilibidi gari aache mtaa wa nyuma na kutembea nyuma nyuma kwenda nyumbani ili kuwakwepa mashabiki
Kwani siku zote samata alikuwa wapi asipewe?
Leo kapewa wanyama tunasema kwanini asipewe samata,
kesho atapewa samata tutasema kwanini asiwe MSUVA.
amin amin nawaambia DHAMBI YA UBAGUZI HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA.
KIUFUPI TUMEKOSEA NA TUMETIA AIBU.
 
Angekua sammata sawa, sasa wanyama apewe jina la mtaa kwa lip alilolifanyia tz? Kwa kushirik ndondo cup ama? Huwez kumpa mtu jina la mtaa et kisa kahudhuria ndondo cup.
Kwani KAPEWA NA HELA AMA?
HUYO SAMATA ILIKUWAJE HAJAPEWA MPAKA LEO.?
ACHENI USWAHILI NA UBAGUZI USIOKUWA NA MAANA MNATIA AIBU.SISI NI WAAFRIKA.VIPI TUBAGUANE?
HATA ANGEPEWA SAMATA PIA MNGEHOJI.
 
Team anayochezea samatta Sawa na Mbao Fc, hana jina huwezi kumfananisha na Wanyama. Subiri aanze kuichezea walao Crystal Palace dunia itaaanza kumfahamu.
 
Yaani nabii hakubaliki kwao.
Wanyama maskini Tz'ans ndiyo tumeona tumpe jina la mtaa kwao hawana habari.

Samata akija bongo anaonekana mwana tu wa kawaida lakini kongo ilibidi gari aache mtaa wa nyuma na kutembea nyuma nyuma kwenda nyumbani ili kuwakwepa mashabiki
Samata alikuwa ameandaliwa mtaa mrefu 800m zaidi ya wa wanyama 270m (naweza kusahihishwa umbali)
Samata kajifanya super (chupi) star hakutokea ndondo cup.

Lisamata lina akili za kiccm pambaufu kabisa
 
Hivi mitaaa ya tanzania imeisha kiasi kwamba watu waanze kuhoji mbona samatta hajapewa?.kwa ujinga huu ndio maana waziri wa viwanda anajitangazia idadi ya viwanda vilivyo anzishwa na awamu ya tano kua ni 40000 na wabunge wanashangilia
 
Angekua sammata sawa, sasa wanyama apewe jina la mtaa kwa lip alilolifanyia tz? Kwa kushirik ndondo cup ama? Huwez kumpa mtu jina la mtaa et kisa kahudhuria ndondo cup.
Magufuli amewafanyia mini Gor mahia hadi tawi lao moja wakaliita Magufuli? Jiongeze uchanganye na ulizozikuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom