Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Kuna viumbe vilikua vinamsifia JK hakuna tena sasa JPM akitoka uone atakavyosifiwa hiyo ajae Hats kama atakua ANDREW CHENGE cha msingi atoke kwa MACCM
 
Hahaha....Mkapa alipowaita hawa jamaa Makanjanja unafikir alikosea...ni mikanjanja kweli
 
Halijavinja katiba ya nchi lakini.
 
Mwandishi atakuwa analinda kucha zake
 
Bombadia iliyokamatwa inakuja wiki lijalo na ile dreamliner inakuja mwezi wa kumi na mbili!

Inabidi tu, hakuna namna.

Kama Super Brand ITV wanafanya Malumbano ya Hoja (halafu nyote mnatakiwa kuwa na hoja za upande mmoja), kipima joto kinachosoma nyote mna jotoridi sawa unategemea nini!
 
Mimi nikipewa naenda kuchambia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…