Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,925
Kwa sasa sina ila endelea kufuatilia itakuja tu.Leta townace kwa bei hiyo ya 5m kushuka chini.
Vitu vinakujaSafi sana mkuu lete vitu
Okay mkuuKwa sasa sina ila endelea kufuatilia itakuja tu.
Karibu.Nasubiria IST nipo hapa hapa
Magari ni wingi wa gari alaf post imeishia gari moja tu!.Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena.
WhatsApp 0712 148001.
View attachment 3261806
Njoo ununue gari kwa ajili ya chama Intelligent businessman usiile hiyo hela yote peke yakoNdugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena.
WhatsApp 0712 148001.
View attachment 3261806
Ni kheri nizingatie kuongeza uzalishaji wa unga wa sembe ili kuongeza AJIRA kwa vijana.Njoo ununue gari kwa ajili ya chama Intelligent businessman usiile hiyo hela yote peke yako
Huo unga unazalisha wapi na viongozi wa CHAMA hatujui? Gari la million 5 ambalo tutabeba unga na kulifanyia biashara ya Uber na bolt ili kuongeza mapato ya chama pia hutaki?Ni kheri nizingatie kuongeza uzalishaji wa unga wa sembe ili kuongeza AJIRA kwa vijana.
au min -me nakosea?