saidow masaka
Member
- Aug 14, 2016
- 31
- 48
Habari, ukitumia mfumo wa gesi kwenye magari unapunguza gharama kwa 60%, yaan ni 150-200km kwa 15500/- na gari inakuwa na nguvu ile ile.
Mkuu mitungi hailipuki sema tu ni kwa wale waliokaribu na vituo vya gesi kwa hapo DSM watanifaikaUnatembea na kifo mgongoni
Hapana it depends na cc za engineHaijalishi gari ni cc ngapi!?
Mfano gari ya petrol cc 4200 itakuwa sawa na cc 1500?
Leaf hata bongo si unaagiza tuSisi tunasubiri electric cars . Kenya tayari wana Nissan Leaf bado kwetu
Hizi tAARIFA CYO ZA KWELI KWASBB DANGOTE AMERUHUSIWA KUTUMIA GESI WALA CYO MUDA, LABDA NI MADEREVA TU AMBAO SASA HIVI HAWAUPENDI HUU MFUMO KWASBB UMEWABANA KUIBA MAFUTA KWAHIYO WANAUCHUKIA HATARI SANA.Kuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
Kwahyo point yako unamaanisha hiyo ajali haijatokea au unatetea nini?. Kwa taarifa yako hiyo ajali iliua dereva, konda na huyo ndugu yangu.Hizi tAARIFA CYO ZA KWELI KWASBB DANGOTE AMERUHUSIWA KUTUMIA GESI WALA CYO MUDA, LABDA NI MADEREVA TU AMBAO SASA HIVI HAWAUPENDI HUU MFUMO KWASBB UMEWABANA KUIBA MAFUTA KWAHIYO WANAUCHUKIA HATARI SANA.
PILI , DANGOTE ANASHITAKIWA KAMA INGEKUWA HIVO, KWASBB KWANZA GARI ZAKE ZIMEKAGULIWA NA WAO WALIOFUNGA NA SHERIA HAIWARUHUSU WAKAT WATU WA TBS WAPO.
Hiyo ajali haijatokea na haipo reported kwetu. Na me ni mkaguzi wa magari ya gesiKwahyo point yako unamaanisha hiyo ajali haijatokea au unatetea nini?. Kwa taarifa yako hiyo ajali iliua dereva, konda na huyo ndugu yangu.
Post ingekuwa nzuri na ya msaada mkubwa zaidi kama ungeongezea hayaHabari, ukitumia mfumo wa gesi kwenye magari unapunguza gharama kwa 60%, yaan ni 150-200km kwa 15500/- na gari inakuwa na nguvu ile ileView attachment 1780818View attachment 1780820View attachment 1780821View attachment 1780823View attachment 1780824
Hapana hiki si kitu kipya duniani labda kwa hapa Tz.. Na usalama ni asilimia 100Unatembea na kifo mgongoni
Hapana ule mtungi ni chuma sio bati.. Unaweza ukapata ajali ukaumia na hata kufa lakini mtungi ukabaki salama
Kwa discovery 4 cc 4200 mtungi gani unafaa?Hapana it depends na cc za engine
Very good umeelezea vizuri kwa lugha rahisi..Hapana ule mtungi ni chuma sio bati.. Unaweza ukapata ajali ukaumia na hata kufa lakini mtungi ukabaki salama
Nadhani hata magari yasiyotumia gesi kila siku yanaua na kuteketeaKuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
Mtungi wa 15kg tena miwili , ila kwa sisi tunayo ya 10kgKwa discovery 4 cc 4200 mtungi gani unafaa?
Inaenda km ngapi? Gharama za kufunga zikoje?Mtungi wa 15kg tena miwili , ila kwa sisi tunayo ya 10kg