Magari ya gesi CNG

Magari ya gesi CNG

Hiyo ajali haijatokea na haipo reported kwetu. Na me ni mkaguzi wa magari ya gesi
Kwahyo kwavile nyinyi hamjapata taarifa hiyo ndio sababu ya kukanusha maelezo yangu.?. Ajali imetokea barabara ya njombe Songea pana Miezi Miwili Sasa Imepita toka Hiyo Ajali Itokee.
 
Inaenda km ngapi? Gharama za kufunga zikoje?
Kaka achana na gharama sijui 1.3/1.4 za mitaani , ambao watu wanafunga kwa mitungi iliyotumika na kuipaka rangi ionekane mipya, na kuweka sticker zao ..sisi tunafunga brand new kwa 1.5m
 
Kwahyo kwavile nyinyi hamjapata taarifa hiyo ndio sababu ya kukanusha maelezo yangu.?. Ajali imetokea barabara ya njombe Songea pana Miezi Miwili Sasa Imepita toka Hiyo Ajali Itokee.
Kaka me hii sina taarifa nayo, na me ni mkaguzi, na taarifa zote za gesi tunazo
IMG-20210413-WA0000.jpg
 
Kaka achana na gharama sijui 1.3/1.4 za mitaani , ambao watu wanafunga kwa mitungi iliyotumika na kuipaka rangi ionekane mipya, na kuweka sticker zao ..sisi tunafunga brand new kwa 1.5m
Changamoto za kufunga used ni zipi?
 
Changamoto za kufunga used ni zipi?
Mtungi una expire date, wanakuwa wanaificha, kwa kupaka rangi, na pia mtungi uliochoka hautakiwi kutumika. Wao wanabandika sticker kuonyesha muda wao wa ku expire world safety hairuhusu hiyo..
 
Sisi tunasubiri electric cars . Kenya tayari wana Nissan Leaf bado kwetu
Nimeicheki ya mwaka 2011.. Milion 10.. Kuchek tra calculator, hakuna option ya umeme fuel type ni diesel kwa petrol tu.. Nimeweka petrol, nimechagua Cc 1001-1500.. Wakaniambia milioni 8 kasoro ndio za kwao.
 
Teknolojia mpya lazima ipate pingamizi siku zote
 
Back
Top Bottom