Magari ya gesi CNG

saidow masaka

Member
Aug 14, 2016
31
48
Habari, ukitumia mfumo wa gesi kwenye magari unapunguza gharama kwa 60%, yaan ni 150-200km kwa 15500/- na gari inakuwa na nguvu ile ile.

FB_IMG_16205670770155756.jpg
masaka%20design33.jpg
FB_IMG_16187517303317800.jpg
FB_IMG_16192614563618882.jpg
FB_IMG_16188855796339031.jpg
 
Kuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
 
Hizi tAARIFA CYO ZA KWELI KWASBB DANGOTE AMERUHUSIWA KUTUMIA GESI WALA CYO MUDA, LABDA NI MADEREVA TU AMBAO SASA HIVI HAWAUPENDI HUU MFUMO KWASBB UMEWABANA KUIBA MAFUTA KWAHIYO WANAUCHUKIA HATARI SANA.

PILI , DANGOTE ANASHITAKIWA KAMA INGEKUWA HIVO, KWASBB KWANZA GARI ZAKE ZIMEKAGULIWA NA WAO WALIOFUNGA NA SHERIA HAIWARUHUSU WAKAT WATU WA TBS WAPO.
 
Kwahyo point yako unamaanisha hiyo ajali haijatokea au unatetea nini?. Kwa taarifa yako hiyo ajali iliua dereva, konda na huyo ndugu yangu.
 
Kuna gari moja ya dangote ilikua inatumia huo mfumo bahat mbaya ikapata ajali, ile ajali ilipelekea mwili wa ndugu yangu uteketee kabisa na kubaki jivu.
Nadhani hata magari yasiyotumia gesi kila siku yanaua na kuteketea
 
Back
Top Bottom