Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,713
- 14,461
Una poor mindset kwa sababu baada ya kutoka kijijini kwenu Sitimbi hujawahi kutoka nje ya TanzaniaMtu anaezuia maendeleo(watu kuingia Town na magari) kwa sababu ya foleni akili hana?
Tafuta solutions za kudumu, kwa sababu ukijenga parking, maendeleo yataendelea kuja, itafika point parking zitakua hazitoshi, what next