Nazishauri mamlaka pale Kariakoo wangezuia gari zote za binafsi kuingia eneo lile. Waruhusu taxi mtandao (drop off & pick up), boda na gari za mizigo tu.
Raia wote wateja na wafanyabiashara wangetumia public transport kuingia Kariakoo.
Usiombe uwe unatokea Posta unakuja Bunju asubuhi kuanzia saa moja yaani magari binafsi yanaendeshwa hovyo (utadhani wahusika wamevuta msuba kidogo) lakini pia wanapita njia zote kana kwamba nyie mnaotokea mjini hamna haki ya kutumia barabara.
Si muwe mnaamka mapema!? Mnakera kinoma!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.