Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Licha ya mafuta kuadimika, maeneo ya kwetu kuna matatizo mengine ya ziada. Maji hayajatoka hii wiki ya pili, na umeme unakatika mara tatu kwa siku wiki hii yote (asubuhi saa 5 hadi 9; usiku saa 5 hadi 7 na asubuhi saa 10 hadi 11). Sijui ni sababu gani kwa kweli, sijui kama ni kutokana na uchakavu wa miundombinu au ndiyo tuko kwenye mtikisiko wa uchumi.