Mafuta yaanza kupungua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta yaanza kupungua...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The King, Oct 27, 2010.

 1. T

  The King JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona idadi ya vituo vya kuuzia petroli ambavyo wanadai wameishiwa imeongezeka sana siku hizi mbili. Nina wasiwasi wanahodhi ili wayalangue wiki ijayo kwa kisingizo cha kuadimika
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kwa sababu uchakachuaji umesitishwa kwa kuogopa kwamba Chadema itachukua nchi:bowl:
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  kigoma bei elekezi sh 2500 kwa litre
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  na hao hao wengi wao ndio wafadhili wa t-shirt na mabango yetu
   
 5. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa nimezipata punde kuwa kutakuwa na shortage ya mafuta hasa ya Petrol mara to baada ya uchaguzi so nawajulisha wana JF mwende petrol stations mkajaze magari yenu full tank...
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  bei ishapanda tayari, na wabongo walivyo waungwana wa shida wanajaza mafuta tu bila kujihoji kama ni sahihi au la.
  ntashangaa sana watanzania wakichagua MAAFA.
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wapi bana weee!
  ukijaza full tenk then what?
   
 8. O

  Omumura JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa mtakaoichagua ccm na mafisadi wake dhambi hiyo na iwatafune kizazi hata kizazi!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!itakuwa ina madhara makubwa kwa uchumi!nashukuru kwa taarifa!!!
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  nadhani hii ni maalum kwa mafisadi waliochangia gharama za uchaguzi kurejesha fedha zao.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ahsante kwa taarifa!
  Inabidi kuhifadhi vidumu kwenye stoo sasa!
  Utakuta upungufu huo upo hata muda huu, lakini wanatumia gharama yoyote kuuziba!...CCM wanapofurukuta kujiokoa wanaweza fanya lolote, hawaaminiki.
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Upungufu huo utakuwa ni wa kupanga au ni hali halisi? Kama ni wa kupanga, ni kwa sababu gani?
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ccm wamekomba HAZINA na sasa wanahaha kurejesha funds kwani wanahisi ndo kitumbua kipo mchangani. nahisi hii shortage ni ya kupanga kwani kuna manuva ipo mahala na duniani hakujatangazwa downfall ya uzalishaji mafuta.

  hivi tujikumbushe lile tukio la mafuta kuwagika bandarini, ziliteketea lita ngapi vile???? fidia ililipwa na nani?
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Connecting... the dots.... Thanks mkuu
   
 15. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Shortage means u wont be able to get fuel easily when u want it so better weka akiba mapema
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu anasamabaza ujumbe kwenye simu tangu juzi jioni kuhusu swala hili. Sijui ni SI HASA au kweli kutakuwepo na shortage ya hio gesi? na nn kimesqababisha? mbona wahusika EWURA wapo kimya? Kwa nn wasitoe tamko kama DUWASA walivyosema maji ya mto ruvu kwishne?
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo akiba ni FULL TANK?.....

  ha ha ha!acha hizo bwana mkubwa
   
 18. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Akiba sio tu full tank kaka tumia na common sense yako kumake sure una akiba hata ukiamua kujaza madumu na kuweka home ni sawa kweli nimeamini common sense is not common to everybody
   
 19. T

  The King JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliandika kuhusu hili jana na siamini kwamba kutakuwa na shortage ya ukweli kwa sababu sasa hivi duniani hakuna shortage ya mafuta hivyo kwanini hali hii itokee nchini tu tena baada ya uchaguzi? wanayahodhi ili wiki ijayo watubamize kwa lita moja kwa shilingi 2,000 au hata zaidi ili kutengeneza faida kubwa sana.
   
 20. T

  The King JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali iko wapi kutoa tangazo ili kuhakikishia kwamba kutakuwa na mafuta ya kutosha nchini hata baada ya uchaguzi?
   
Loading...