Mafuta yaanza kupungua...

Licha ya mafuta kuadimika, maeneo ya kwetu kuna matatizo mengine ya ziada. Maji hayajatoka hii wiki ya pili, na umeme unakatika mara tatu kwa siku wiki hii yote (asubuhi saa 5 hadi 9; usiku saa 5 hadi 7 na asubuhi saa 10 hadi 11). Sijui ni sababu gani kwa kweli, sijui kama ni kutokana na uchakavu wa miundombinu au ndiyo tuko kwenye mtikisiko wa uchumi.
 
Mimi kwetu walimu hawaingii darasani wiki hii na barabara zimezidi kutoboka mashimo, sijui ni kwanini.
 
Licha ya mafuta kuadimika, maeneo ya kwetu kuna matatizo mengine ya ziada. Maji hayajatoka hii wiki ya pili, na umeme unakatika mara tatu kwa siku wiki hii yote (asubuhi saa 5 hadi 9; usiku saa 5 hadi 7 na asubuhi saa 10 hadi 11). Sijui ni sababu gani kwa kweli, sijui kama ni kutokana na uchakavu wa miundombinu au ndiyo tuko kwenye mtikisiko wa uchumi.

Maeneo ninayoishi ni wiki ya tatu hakuna maji na umeme unakatika kama Yo-yo! Jana nilienda kuhakiki Bill ya Maji, muhudumu akaniambia sina deni, bali kuna upungufu mkubwa wa maji katika mabwawa ya Maji na kama "mvua haitanyesha" mapema mgao wa maji upo karibu sana!

Tanesco wanasema vile vile and now EWURA watesema vilevile kuhusu Petrol!

That is why uwa najiuliza : Hii nchi inatawaliwa na NANI?
 
Licha ya mafuta kuadimika, maeneo ya kwetu kuna matatizo mengine ya ziada. Maji hayajatoka hii wiki ya pili, na umeme unakatika mara tatu kwa siku wiki hii yote (asubuhi saa 5 hadi 9; usiku saa 5 hadi 7 na asubuhi saa 10 hadi 11). Sijui ni sababu gani kwa kweli, sijui kama ni kutokana na uchakavu wa miundombinu au ndiyo tuko kwenye mtikisiko wa uchumi.

Ma'mdogo hii ni kweli kabisa nadhani hili ni tatizo la Dar es salaam nzima, sijui mikoani hali ikoje, maeneo ninayoishi maji yanatoka usiku tuu, na umeme wamekuwa wakikata atleast once a day, nadhani kutakua na mgao wa kimya kimya.
 
Kwanini, Dawasa, Tanesco na Ewura wasiseme ukweli lakini?..

Naomba kesho usiku wajitahidi kutokukana tumuone muungwana live akijibu tuhuma.
 
Walivyokuwa na woga wa people's power wanaangalia scenario zote sasa, Petrol is suitable for making explosions (mabomu ya petrol) ficha, litafuata chakula pia is suitable for making people strong ficha, litafuata visu na mapanga pia sasa hapa sijui watapita nyumba kwa nyumba kuvikusanya, then mawe barabarani naona hapa watayakusanya yote tokea milimani, Maji nayo kata kwani watu watatumia kujinawisha wakipigwa mabomu ya machozi.

At the end of the day Tanzania inapiga magoti kiuchumi. Huu ni woga ambao atakuwa nao mtu yeyote aliyejiandaa kupindisha matakwa ya wananchi ila wajue kuwa kifo kipo tu iwe leo au kesho ila kipo na ndivyo itakavyokuwa kwa CCM kuwa madarakani watatoka iwe mwaka huu au mitano ijayo hilo halikwepeki.
 
Nimetoka vituo 8 sasaiv vyote hamna mafuta,mdau mmoja anasema mpaka jioni hali itakua sawa.
 
Ma'mdogo hii ni kweli kabisa nadhani hili ni tatizo la Dar es salaam nzima, sijui mikoani hali ikoje, maeneo ninayoishi maji yanatoka usiku tuu, na umeme wamekuwa wakikata atleast once a day, nadhani kutakua na mgao wa kimya kimya.

Mimi ninakokaa mambo ni kinyume kwani maji yanatoka 24 hours tofauti ni siku za nyuma ambapo yalikuwa yanatoka mchana tu. Ila Mafuta kwa sasa vituo vingi havina mafuta ya petrol na bei imepanda gafla
 
Angalizo kwa wanaowaza kuweka akiba ya mafuta majumbani - Kuna risk ya nyumba zenu kuungua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom