KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Je kwa sis tunaotafuna mbegu za ubuyu je inakuaje?
una duka la mafuta ya ubuyu nini?
tumeacha kujipaka vitu vya mchina ...tumepaka vitu vya mashambani kwetu serikali inatuambia ni sumu...tufanyeje?
naona umekomaa na tindikaliNajali Afya za watanzania....what's your question if I may ask....
OKI NA VIKING pia jana zimetangazwa kuwa ni hatari!
maziwa yenyewe ya kuchakachua....full hormone ili kupata maziwaPaka kitu samli hahahahaha
Paka kitu samli hahahahaha
uzushi tuuu
naona umekomaa na tindikali
maziwa yenyewe ya kuchakachua....full hormone ili kupata maziwa
Duh Mimi ndio namba moja kwa kutumia mafuta ya Ubuyu..!
mpwa tunahamia kutumia mafuta ya kiti moto hayana gauti.
Mpwa pole pole Mwenzio nasubiria Mwezi...nifunge
TFDA ni kichwa cha mwendawazimu kabisa, jambo kama hili si la kulifanyia mchezo. Tangu walipogundua mafuta haya hayafai wamechukuwa hatua gani kuhakikisha wanadamu wote wa tanzania wanaancha kuyatumia? wao wanadhani watanzania wote wanaenda saba saba au wanasoma magazeti?? kwa nini wasipige mbiu kila mtu akapata habari hizi? watu wanayanywa haya mafuta kama juice, Eee Mungu linda watu wako! Wengine ndio wanapaka hizo pochi manyoya usiku na mchana, zikijifunga na kugoma kufunguka hii kesi itakuwa ya nani? agh!!!! nimechoka mie
mpwa vunja jungu lini?
Mpwa pole pole Mwenzio nasubiria Mwezi...nifunge
mfungo lini mkuu...nimemiss mafutari nausubiria mwezi kwa hamu kuliko hata wafuasi wa mtumeMpwa pole pole Mwenzio nasubiria Mwezi...nifunge