Mafuta ya kukuza ndevu na kuondoa uwalaza

Mafuta ya kukuza ndevu na kuondoa uwalaza

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
850
Mafuta haya yanakuza ndevu,yanang'arisha ndefu na kuzifanya ziwe na muonekano mzuri

Pia kwa wale wenye uwalaza kuna mafuta mazuri ambayo yanarudisha nywele kwenye uwalaza

Mawasiliano
whatsapp; 0738 78 36 25
IMG-20200520-WA0007.jpeg
IMG-20200520-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kuotesha nywele nakataa.....

Sababu ingekuwa ni hivyo watafiti wa clinic za transplants za nywele wangeshafunga clinic zao. Mtu kama Rooney anakwenda lipia mamilioni ya hela kufanyiwa transplants si angenunua dozen ya haya mafuta akapakaa kupata matokeo anayotaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sababu za nywele kupotea ni zipi ?

Na je kupotea huko hakuwezi kutekebishwa nywele zikaanza kurudi juu na kuota ?

Kwa nini iwe ngumu kuotesha nywele ambazo zilikuepo zikapotea ?
 
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa!!
Kumekucha Sasa Hivi, Kisu Kimegonga Mfupa
😀😁😂😅😄😃
Vipara Huku
 
Back
Top Bottom