mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
- Thread starter
- #41
Mkuu bei haipungui hahaha
Mkuu mm ninachotaka nywele zangu ziwe nyingi na ndefu sana na naona kama hayo mafuta ya ndevu yanakuza sana ndevu na kwa uharaka zaidi mkuuyametengenezwa specific kwa ajili ya ndevu tu mkuu..yanaweza kusaidia nywele pia ila hayatokua na matokeo makubwa kama kwenye ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama unataka mafuta kwa ajili ya kukuza nywele katafute kwenye maduka ya vipodozi mafuta ya mnyonyo(castol oil)..ni mazuri kwa hayo malengo yakoMkuu mm ninachotaka nywele zangu ziwe nyingi na ndefu sana na naona kama hayo mafuta ya ndevu yanakuza sana ndevu na kwa uharaka zaidi mkuu
Kwani ya kukuza na kuotesha upara tofauti ?kama unataka mafuta kwa ajili ya kukuza nywele katafute kwenye maduka ya vipodozi mafuta ya mnyonyo(castol oil)..ni mazuri kwa hayo malengo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ya kukuza na kuotesha upara tofauti ?
Mimi nataka kukuza nywele upara sina nataka ziwe ndefu tu
yeah ni tofauti
kama unataka kukuza nywele tafuta hayo mafuta ya mnyonyo ni mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
ya ndevu ni 45k mkuuShingap unauza nijibu nataka chupa 1 niendeleze mzuzu wangu, mwanaume ndevu bhna mambo ya videvu bulb tuwaachie wamajusi
HahahahahaShingap unauza nijibu nataka chupa 1 niendeleze mzuzu wangu, mwanaume ndevu bhna mambo ya videvu bulb tuwaachie wamajusi
Weka bei hapa kisha ndio niamue nakuja WhatsApp au lah.
Sawa nitanunua,okay mkuu, location nakopatikana ni sinza meeda(dsm)
Mafuta ya ndevu bei yake ni 45000
mafuta ya uwalaza bei yake ni 50000
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafuta haya yanakuza ndevu,yanang'arisha ndefu na kuzifanya ziwe na muonekano mzuri
Pia kwa wale wenye uwalaza kuna mafuta mazuri ambayo yanarudisha nywele kwenye uwalaza
Mawasiliano
whatsapp; 0738 78 36 25View attachment 1455009View attachment 1455010
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji mafuta ya kuzuia ndevu kuota ,maana naona znaniota bila mpangilio Kama sharubu za cat ,,,wakuuu msaada nahitajii ya kuzuia ukuaji wa ndevuu 🙏🙏yanafanya kazi zote mkuu..kama hukua na ndevu yanaotesha ndevu.
ila kama unazo ila zimekaa hovyo itazifanya ziwe nyingi na zenye muonekano mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitanunua,
But tunaweza kuandikiana kabisa kabla kua zisipoota after two weeks (au fanya 4 kabisa) utanirudishia hela yangu?
Nkukumbushe cku nkivunja kile kibubuNinunulie sasa sio unacheka tuu