mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
- Thread starter
- #61
mafuta bado yapo
mafuta bado yapo
Yaani haya maisha yaache kama yalivyo,wewe unachukia kipara,ila Mimi hapa nakipenda sana,dheni Mimi ninamasharubu na madevu mengi sana na siyapendi hata kwa bure lakin kuna watu wanayalilia,duhYanaondoa kipara, maana kimekuwa kama cha rugeshungwa aisee...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ingekuwa ni kweli watu wenye pesa ambao wanakwenda kufanya hair transplant surgery wangekuwa wateja wa zuri wa hii bidhaa na isingekuwapo.Mkuu umeleza vnimekusoma asabte sana kiongozi.
Sasa je kwa tatizo hilo tunawezaje kugundua kuwa mafuta haya hayana uwezo wa kuotesha nywele kwenye kipara. ?
Tuangalie ingredients za mafuta pengine kuna kemikali ambayo inakazi ya kurekebisha hilo tatizo ?
Ama hakuna kemikali hiyo ya kurekebisha tatizo kama hilo mkuu.
Na kwa nini iwe shida sana kuotesha nywele mkuu.
Ipo transplant ya ndevu. Na hii ni matokeo ya upungufu Wan hormones za kiume.....Mkuu kuna wengine wamekosa ndevu kutokana na kurithi gene ambayo haina ndevu..huyu kuwa na ndevu labda abandike zile za bandia
Sent using Jamii Forums mobile app
bila PESA izo zooote ni fantasiesMwanaume mwenye kipara akijiweka smart kwa maana ya kunyoa, akavaa vizuri na akanukia vema, akachonga ndevu zake vizuri, akawa na kipato, asiwe muongeaji sana, akawa na deep voice, akawa ni muongeaji kidogo but vitendo ndio sana, ana possibility...sio probability..... Possibility ya 90% kumvutia mwanamke naturally bila kumtongoza wala kufanya
Mengi kafa sababu ya pesa. Sasa we jidanganye.... Wanawake wanahitaji pesa kujisikia vizuri ila wanahitaji mgegedo wa maana kujisikia ni wanawake.....bila PESA izo zooote ni fantasies
😤 Mkuu una kipara kwani???Ingekuwa ni kweli watu wenye pesa ambao wanakwenda kufanya hair transplant surgery wangekuwa wateja wa zuri wa hii bidhaa na isingekuwapo.
Kwa kifupi hii hali sio ugonjwa ni disorder tu kama vile mtu kusa mfupi kupita kawaida, kudumaa, kuwa mrefu kupitiliza, kuwa albino, kuwa mnene isiyo kawaida. So ni mambo ya kawaida na kuya accept sababu hayakuondolei chochote kwenye maisha yako.
Kama unakipara sio jambo la fedheha its all about fashion.
Wanaume wenye vipara kisayansi ndio wanaume wenye masculinity scale kubwa zaidi above 100%. Yaani mtu ambaye ana higher levels of testosterone huwa anakuwa na higher energy levels. Tazama hata wanawake wenye hormone hiyo huwa wengi hawaolewi sababu wanaume hawawezi kuwa na mwanamke ambaye ana hiyo hormones unless akafanyiwe treatment ishuke.
Mwanaume mwenye kipara akijiweka smart kwa maana ya kunyoa, akavaa vizuri na akanukia vema, akachonga ndevu zake vizuri, akawa na kipato, asiwe muongeaji sana, akawa na deep voice, akawa ni muongeaji kidogo but vitendo ndio sana, ana possibility...sio probability..... Possibility ya 90% kumvutia mwanamke naturally bila kumtongoza wala kufanya advances zozote, sababu wanawake huwa wanakuwa stimulated na hormones zao estrogen and progesterone ambazo huwa na nguvu mara dufu pale anapokutana na mwanaume anae display masculinity details kwake.
Masculine details nyingine ni miuonekano wa mwili kwa maana usiwe na kitambi kama mimba uwe na tumbo limekatika vizuri, uwe smart kwa mavazi na muonekano, uchonge ndevu zako mtindo mzuri sio unaachia midevu na hauzisafishi. Nitakuwekea picha hapa ya brothers wanaonyoa upara na wanavyowachanganya wadada.
Mwanaume mwenye higher levels za teste testosterone hormones huwa mwili wake unakuwa very high productively kwenye swala la kufanya mapenzi. Kwao hii huwa ni kama wana extra batteries ukicompare na average humans.
Kuna vingi vipo associated na mvuto wa mwanaume naturally kwa mwanamke kipara ni mojawapo. Unaweza sikia mdada anasema mimi sipendi mwanaume anakipara ila ndie anaemtomba na anafurahia sababu jamaa show yake si ya kitoto, wanasema sijui pesa sijui nini but trust me.... Mwanamke katu huwa hamuachi mwanaume anaempa show vizuri kitandani, wanakanuni yao huwa wamasema a hard dick side dude is sweeter than a sugar daddy who pays the bills....
So mzee atalipa bili zote, mtoto stress zitamuisha unadhani mwisho wa siku atataka nini?! And hakuna mwanamke mgumu kutosheka kama ambaye hana stress tena ameridhika huwa anataka ukuni masaa yote. I speak this from experience......
Ntakuacha na picha za baadhi ya watu mashuhuri wenye style ya upara. View attachment 1506713View attachment 1506714View attachment 1506715View attachment 1506716View attachment 1506718View attachment 1506719View attachment 1506721View attachment 1506722View attachment 1506723View attachment 1506724View attachment 1506725View attachment 1506726View attachment 1506727
huo mgegedo unaupata vipi bila pesa ? mkuu unaota ee? amka kwanza kapige maji then rudi hapaMengi kafa sababu ya pesa. Sasa we jidanganye.... Wanawake wanahitaji pesa kujisikia vizuri ila wanahitaji mgegedo wa maana kujisikia ni wanawake.....
Kwahio wahuni wenye uwalaza wanapiga mpeke sana? Maana Testosterone levels ziko juu sanaSababu za nywele kupotea especially eneo la utosi ni matokeo ya over production ya hormones ya kiume aina ya testosterone ambayo baadae inapozidi mwilini huwa inakuwa converted kuwa Dihydrotestosterone (DHT) ambayo hii sasa huwa ni adui mkubwa sana kwenye tissue na seli za eneo la nywele za utosi kwasababu hutoa taarifa fake ya kutaka hair follicles (vijishimo ambapo mashina ya unywele huanzia) ziharibiwe na kuzuiwa kuproduce nywele kwa kuziziba...
Yaani reaction yake ni kama hii DHT inataka kufukia mashimo ya nywele ili nywele zisiote tena. Na ndio maana nywele huanza kwa kuwa nyembamba na hatiame kutoweka.....
Namna ya kutreat ni kwa kutumia vifaa maalumu vya clinic ambavyo hutoa follicles za vinyweleo sehemu nyingine za mwili kama kifuani, kisogoni, ubavuni mwa kichwa, sehemu za siri au kwapani na kuzipandikiza maeneo yaliyoathirika kichwani.
Baada ya kufanya hivyo huwa hali haijirudii sababu tissue za kichwani zitakuwa hazifanani na zile za maeneo mengine yaani hazitashambuliwa tena.
Hii hali ya upara huwa inabebwa kigenetic na wazazi lakini mostly hubebwa na akina mama maana hii hormones huwa excessive reproduction yake inakuwa stored kwenye ovaries za mwanamke.....
Kuzuia over production ya hormones ya testosterone mtu anapotumia sana vyakula kama, nyanya, caroti, matikiti maji, maembe, vyakula vyenye kiwango kikubwa cha lycopene......
Sent using Jamii Forums mobile app
But of course na sio upara tu, wale wenye vinyweleo vingi kifuani, ndevu nyingi na vinyweleo vingi kwenye mikono na miguu. Hawa jamaa wanataka show on timely manner....Kwahio wahuni wenye uwalaza wanapiga mpeke sana? Maana Testosterone levels ziko juu sana
Hahahahah hapo sawa, japo sina uwalaza ila hizo option nyingine checked!But of course na sio upara tu, wale wenye vinyweleo vingi kifuani, ndevu nyingi na vinyweleo vingi kwenye mikono na miguu. Hawa jamaa wanataka show on timely manner....
Uwalaza ni mtu ambaye mama yake alikuwa ana elements za kucontain hormone hiyo tata kwenye mwili wake.....Hahahahah hapo sawa, japo sina uwalaza ila hizo option nyingine checked!
But sie tulifikiria ni wasomi sana ndio wanatoka uwalaza. Basi watu wengi wa zamani mama zao walikuwa hivyo!Uwalaza ni mtu ambaye mama yake alikuwa ana elements za kucontain hormone hiyo tata kwenye mwili wake.....
Tunasubiri mrejesho wa waliotumiamafuta ya ndevu yapo ...yanafanya kazi zifuatazo
•Yanaotesha Ndevu Kwa Ambao Hawana
•Yanajaza Ndevu Kwa Wenye Ndevu Zilizoota Sehemu sehemu
•Yanarefusha Ndevu
•Yanaondoa Kipilipili cha Ndevu
•Yanaondoa Mba na Miwasho kwenye Ndevu
•Yanalainisha na Kung'arisha Ndevu
Karibu tukuhudumie : 0765 494548
Tunasubiri mrejesho wa waliotumia