Mafuta ya kukuza ndevu na kuondoa uwalaza

Mkuu sababu za nywele kupotea ni zipi ?

Na je kupotea huko hakuwezi kutekebishwa nywele zikaanza kurudi juu na kuota ?

Kwa nini iwe ngumu kuotesha nywele ambazo zilikuepo zikapotea ?
Sababu za nywele kupotea especially eneo la utosi ni matokeo ya over production ya hormones ya kiume aina ya testosterone ambayo baadae inapozidi mwilini huwa inakuwa converted kuwa Dihydrotestosterone (DHT) ambayo hii sasa huwa ni adui mkubwa sana kwenye tissue na seli za eneo la nywele za utosi kwasababu hutoa taarifa fake ya kutaka hair follicles (vijishimo ambapo mashina ya unywele huanzia) ziharibiwe na kuzuiwa kuproduce nywele kwa kuziziba...

Yaani reaction yake ni kama hii DHT inataka kufukia mashimo ya nywele ili nywele zisiote tena. Na ndio maana nywele huanza kwa kuwa nyembamba na hatiame kutoweka.....

Namna ya kutreat ni kwa kutumia vifaa maalumu vya clinic ambavyo hutoa follicles za vinyweleo sehemu nyingine za mwili kama kifuani, kisogoni, ubavuni mwa kichwa, sehemu za siri au kwapani na kuzipandikiza maeneo yaliyoathirika kichwani.

Baada ya kufanya hivyo huwa hali haijirudii sababu tissue za kichwani zitakuwa hazifanani na zile za maeneo mengine yaani hazitashambuliwa tena.

Hii hali ya upara huwa inabebwa kigenetic na wazazi lakini mostly hubebwa na akina mama maana hii hormones huwa excessive reproduction yake inakuwa stored kwenye ovaries za mwanamke.....

Kuzuia over production ya hormones ya testosterone mtu anapotumia sana vyakula kama, nyanya, caroti, matikiti maji, maembe, vyakula vyenye kiwango kikubwa cha lycopene......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shukrani kwa elimu

Mkuu umeleza vnimekusoma asabte sana kiongozi.

Sasa je kwa tatizo hilo tunawezaje kugundua kuwa mafuta haya hayana uwezo wa kuotesha nywele kwenye kipara. ?

Tuangalie ingredients za mafuta pengine kuna kemikali ambayo inakazi ya kurekebisha hilo tatizo ?

Ama hakuna kemikali hiyo ya kurekebisha tatizo kama hilo mkuu.
Na kwa nini iwe shida sana kuotesha nywele mkuu.
 
Bei haweki analeta story tu weka bei kila mmoja ajue wengine sie huwa wanasoma wakishajua bei wanakutafuta
Umeongea jambo la maana mkuu, story kibao badala ya kuweka vitu vya msingi kama mahali anapopatikana na bei ya bidhaa yake. wabongo sjui tukuoje
 
Back
Top Bottom