makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
Wewe ndio feki kwa kuwa unaleta vitu feki,huna data wala ushaidi wa kutosha katika mada yako,tuulize sisi tuliopo moshi
asitudanganye yeye siku zote huwa anaisema serikali ya sisiemu kuwa ina mafisani wakati yeye pia alikuwa serikalini hakuwahi kukemea rushwa iweje leo? acha utani tunataka mabadiliko haswaMagufuli anaposema hana deni, mikutano yake nani anagharamia?, kama sio pesa za kukwapua sehemu kwa style ya EPA, basi kuna watu wanamchangia.
Asiseme ni chama as kilishafilisika mpaka kikataka kifunge kituo chake cha propaganda.
Magufuli tuweke wazi pesa za kampeni zinatoka wapi, ili tukuamini.
unajitekenya mwenyewe maana hata ITV walionyesha kwenye habari. Watanzania tuneamua sisi ni maghufuli tuuuu
Sikumpenda Lowassa akiwa CCM na nitaendelea kutompenda Lowassa out of CCM. Nampenda Magufuli kwa moyo wangu wote na sitapungukiwa na chochote kwa hilo. Siwezi kumpenda mwezi na mdini
Sikumpenda Lowassa akiwa CCM na nitaendelea kutompenda Lowassa out of CCM. Nampenda Magufuli kwa moyo wangu wote na sitapungukiwa na chochote kwa hilo. Siwezi kumpenda mwezi na mdini