Sikumpenda Lowassa akiwa CCM na nitaendelea kutompenda Lowassa out of CCM. Nampenda Magufuli kwa moyo wangu wote na sitapungukiwa na chochote kwa hilo. Siwezi kumpenda mwezi na mdini
Lumuba mmezidi mno kukodi mamluki toka nnje ya Tz, wafundisheni japo kiswahili basi. Hii, "Siwezi kumpenda mwezi" maanake nini? Yaani Lumumba mnakera kwelikweli.

