Mafuriko ya CCM Star TV Moshi ni fake

Mafuriko ya CCM Star TV Moshi ni fake

Mwishoni wasema Magufulini anaongea kwa dakika tatu halafu wanaunganisha
 
Ukiwa inawauma sana vumilieni tu kuliko kulia lia tu
 
Umejiandikia sentensi mbili unataka upingane na waliokuwepo...
 
Mikutano ya kampeni ya CCM imekua ikionyeshwa live na Star TV na kuonyesha watu wengi kila mkutano lakini imegundulika ni picha za kutengenezwa jana uwanja wa mashujaa pale Moshi hukua na watu wengi kama ilivyokua inaonyeshwa live bali walikua wanachanganya picha za mikutano mingine ushahidi ni video inayoonyesha screen iliyopo uwanjani ambayo kinachoonekana ndicho tunachokiona kwenye tv zetu ikionyesha tofauti na uhalisia.

TBC pia walikua LIVE! na yenyewe ni fake?elimu yako ni ndogo sana kama unaangalia tu ile screen iliyokua pale uwanjani
 
Magufuli anaposema hana deni, mikutano yake nani anagharamia?, kama sio pesa za kukwapua sehemu kwa style ya EPA, basi kuna watu wanamchangia.
Asiseme ni chama as kilishafilisika mpaka kikataka kifunge kituo chake cha propaganda.
Magufuli tuweke wazi pesa za kampeni zinatoka wapi, ili tukuamini.
 
Moshi watawalienda kumwona diamond tuu sio makofuli .ukawa juuuuuuu
 
Kuna kitu hamjagundua chunguzeni sana tukionyeshwa kampeni za ukawa tunaonyeshwa lowassa akiongea watu wametulia wanasikiliza tukionyeshwa sisiem tunaona makufuli anaongea lakin watu wanapunga mikono ile ishara ya kulia kushoto sasa najiuliza makufuli akiongea watu wanapunga mikono hivyooo mpka amalize au hawana ujasiri wa kuonyesha mafuriko wakati wa hotuba?? Naomba mlifanyie uchunguzi leo mimi hutazama habari ya itv
 
Magufuli anaposema hana deni, mikutano yake nani anagharamia?, kama sio pesa za kukwapua sehemu kwa style ya EPA, basi kuna watu wanamchangia.
Asiseme ni chama as kilishafilisika mpaka kikataka kifunge kituo chake cha propaganda.
Magufuli tuweke wazi pesa za kampeni zinatoka wapi, ili tukuamini.

Hapo umewagusa hawawezi kusema lakini ukweli ni yale majina manne ya Stanbic
 
Muonekano halisi wa eneo na kinachoonekana kwenye screen hii iliopo uwanjani picha nimejaribu kupiga kwenye hiyo video
Acha wewe Huu haukuwa mkutano wa Magufuli, hapa ilikuwa ni video shoo tu, magufuli alikuwa kaa kando na yeye anaangalia. HAaaahaaaa. wapiga picha wa Tv unatafikiri hawapendi posho? waonyeshe uhalisia alafu wafukuzwe kwenye msafara kama yule mwenzao alietoa siri ya vidole viwili?
 
Mmetoka nje ya mada, ukawa mnajadili nyomi na mafuriko, mkija shtuka, Magufuli anapiga mswaki bafu la ikulu.
 
mnasumbuka na green tv!
mi jana saa 9:30pm nilifungua startv nikakutana na kinyago furani. nilibadili nikaangalia movie EATV.
naona dialo kaweka pembeni king'amuzi chake. continental haimpi faida kawekeza ccm
 
Kama unauliza Magufuri anapata wapi pesa ya kampeni! Geukia na kushoto na kwenyewe uliza!jibu utalo pata weka kulia
 
Mikutano ya kampeni ya CCM imekua ikionyeshwa live na Star TV na kuonyesha watu wengi kila mkutano lakini imegundulika ni picha za kutengenezwa jana uwanja wa mashujaa pale Moshi hukua na watu wengi kama ilivyokua inaonyeshwa live bali walikua wanachanganya picha za mikutano mingine ushahidi ni video inayoonyesha screen iliyopo uwanjani ambayo kinachoonekana ndicho tunachokiona kwenye tv zetu ikionyesha tofauti na uhalisia.

Ndugu yale mafuriko yalikuwa halisi BALI yalijaa wanafunzi wa shule za sekondari, vyuo na taasisi nyingine waliofuatwa mabwenini na kuvishwa sare, tshirt, khanga za kijani na njano.
 
Kutengeneza picha kwenye TV.sawana bule haofeki hawatapinga jura na rais mteule kwasasa ni lowassa .hatishwi mtuuuuu hapaa
 
Back
Top Bottom