aha wewe si ulisema majibu yapo katika science?evolution iko sahihi? modern scientist wenyewe wanakataa sana kuhusu haya mathoery yet they have come with nothing to give answers to questions we are arguing about what created the universe?for what purpose?why are there complexity in everything but perfectly made and exist for ages? human life the origin and everything? science bado haina majibu kiranga
mimi nitakuwa na majibu atleast that god exist and he created everything in perfect way that no man can explain. ehee hii very kali.
Naweza kukwambia evolution ipo sahaihi.
Lakini for the sake of argument, hata kama si sahihi, hili hali prove kwamba mungu yupo.
Ni kama vile tumekuta mpira ndani ya nyumba. Mimi nasema "huu mpira umeletwa na John humu, kwani nimemuona alivyouleta"
Wewe unasema huu mpira lazima utakuwa umeumbwa na bibi ndani ya nyumba, kwa sababu John hawezi kuwa ameuleta humu, ona hapa na hapa. Unanionyesha jinsi gani hii theory yangu ya kwamba John kauleta mpira ndani ya nyumba ilivyo mbovu.
Mimi nakwambia sawa, inawezekana nimekosea, labda John hajauleta mpira ndani ya nyumba.
Wewe unasema unaona, John hajauleta ndani ya nyumba, na kama John hajauleta ndani ya nyumba basi lazima umefumwa na bibi.
Mimi nakwambia hata kama John hajauleta ndani ya nyumba, hilo halionyeshi mpira umefumwa na bibi. Itabidi unionyeshe ushahidi kwamba mpira umefumwa na bibi.
Wewe unakazania kusema John hajauleta ndani ya nyumba kwa hiyo ni lazima uwe umefumwa na bibi. A logical "Non Sequitur"
It does not follow kwamba kama mpira haujaletwa ndani ya nyumba na John, basi lazima utakuwa umefumwa na bibi. Inawezekana kuna mtu mwingine ambaye hatujamtambua bado kaleta mpira.
It does not follow that, if evolution is wrong, then creation must be the beginning of life. You must show the evidence of creation separately. Because for all we know evolution and creation could both be wrong.
Ukisema
mimi nitakuwa na majibu atleast that god exist and he created everything in perfect way that no man can explain. ehee hii very kali.
Una betray jinsi ulivyo simpleton tu.Unaogopa ku tackle some deep questions.