H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Huyu anasema nini? Hebu tumsikilize, labda ana gotcha.
Nimeandika pia kuhusu scale, kwamba, kwa kuwa bacteria wanajigawanya kwa kasi sana ukiwalinganisha na binadamu (binadamu kuzaa mathalani ni mpaka miaka takriban 16, kwa hiyo mpaka mtu apate mjukuu itachukua si chini ya miaka 32 aghalabu) bacteria wanajigawa kila dakika 20. Na kwa sababu bacteria ni wadogo na wanajigawa sana, na kwa sababu evolution agent wake mmoja mkubwa ni mutation iliyo katika reproduction, basi utaweza kuona evolution ikiwa kazini kwa urahisi na haraka sana ukiangalia bacteria kuliko ukiangalia binadamu.
Soma zaidi kuhusu bacterial reproduction hapa Bacterial Reproduction
Habari yangu ya juu imefunga kipande hiki cha mjadala, labda kama unataka kuendekeza ubishi tu.
Ungeelewa somo la scale hata usingejiaibisha hivi.
Tatizo kwa kuwa unataka kudanganya unajifanya hujui kwamba binadmu sio liseri moja kubwa...binadam anaumbwa kwa mabillion ya seri hivyo, basi evolution ingekuwa inaonekana hata kwenye seri zinazoumba sehemu ndogo ya kidole.
Nisome zaidi kuhusu bakteria reproduction ? inapatikana kwenye INJILI ipi kiranga ? wewe ukipewa reference kwenye maandiko tunayoyaamini unakataa kwa msimamo wako,nami nakuambia siichukulii sayansi kama ndiyo mbadala wa Mungu wangu,mengi tu kwenye sayansi ni fix kwa hiyo toa maelezo yako hizo link ni kwa faida ya wale wenye nia ya kukariri mambo.