Bottom line, huwezi kuicheka sayansi kwa kutokuwa na majibu yote kwa sababu haijawahi kusema ina majibu yote.
Icheke dini kwa kutokuwa na majibu yote kwa sababu imesema kwamba ina majibu yote.
1 : an idea or set of ideas that is intended to explain facts or events [count] ▪ a widely accepted scientific theory ▪ Einstein's theory of relativity ▪ theories on/about evolution [noncount] ▪ according to atomic/economic theory
2 [count] : an idea that is suggested or presented as possibly true but that is not known or proven to be true
Mimi naikubali sana sayansi kuliko dini. Dini kwa kiwango kikubwa sana siikubali.
Aspects za dini ninazozikubali hususan ni zile ambazo zinazungumzia maadili kama baadhi ya zile so called amri 10 za mungu.
Na kwa hakika siwezi kuibeza wala kuicheka sayansi kwa ujumla. Ila ni baadhi tu ya nadharia za sayansi ambazo mimi naona bado zina mapungufu makubwa na ambazo sikubaliani nazo - mfano hiyo nadharia ya evolution.
Lakini pia, uzuri wa sayansi ni kwamba yenyewe at least inaweka wazi kuwa jambo au kitu fulani ni 'nadharia'/ 'theory' tu na siyo undisputed fact. Sasa hata ukiangalia maana ya theory kwenye kamusi utaona kuwa inaacha mwanya wa uwezekano wa kutokuwa sawa au sahihi. Hebu cheki hizi definitions za theory kutoka M-W.
Najua unaweza kujua kwa nini kwenye hiyo def. ya kwanza wametumia neno 'intended'. Sasa hebu toa hilo neno halafu toa 'that is' na 'to' uone jinsi ambavyo maana inabadilika.
So I'm not at all anti-science or anything near that. It's just that when it comes to certain things I think science hasn't been able to convincingly explain their origin as of yet.
mkuu kiranga
muda wangu umeisha kesho. mungu akulinde na kuzidi kukupa afya njema kwikwiwwww
kiranga
kama uliisoma kuanzia mwanzo to ufunuo halafu ukarudi kinyumenyume toka ufunuo hadi mwanzo ili uelewe zaidi au?and at that age ya miaka 11 ulikuwa na uelewa na ulichokuwa unasoma kwa tafakuri ya kina?
kama uliisoma katika hiyo age ya miaka 11 no wonder hukuielewa nashauri usome tena sasa ukiwa na akili nzuri iliyojaa mambo mengi yatakayokusaidia kutafakari vzr.
Kufikiri kwamba "sasa hivi hatu evolve" ni sawasawa na kubisha dunia si mviringo kwa sababu huuoni mviringo huu ukitoka barazani kwako.
What you lack is scale.
To see the curvature of the earth you need to look at the world from afar, preferrably from a very tall building or even better a plane.
To see evolution you need to observe living beings for a very long timesscales.Evolution is a process that moves at a snail's pace, and takes billions of years to produce discernible changes.
The continents do shift a few centimeters a few years (Continental Drift), but you can't possibly see this with your eyes.
Bacteria move around your body, but you can't see them with your eyes.
It's all about scale.You can't expect to see bacteria, evolution, continental drift, with your eyes.
The best example of evolution is the bacterial resistance of antibiotics.This can be observed in human timespans because of scale - bacteria do not require much time to reproduce, hence mutations are magnified fastly-
Read some more on the curvature of the earth, evolutionary timescales, continental drift and bacterial resistance of antibiotics.Then relate and reconsider.
Of course.
And that is the beauty of science. It is convergent in nature, it does not lie that it has the answer to everything.
Science has more answers than religion, but does not claim to have the answer to everything.
Religion has less answers than science, but claims to have answers to everything.
Hapa ndo panaonesha uwezo mkubwa ulionao wa kukariri na kuaminisha uongo kwa jina la sayansi,
umeandika evolution haiwezi onekana kwa kuwa scale ni ya mbali mno na inatumia mda mrefu 'billion of years'.
ni antibiotic gani ambayo imetumiwa japo kwa miaka 500 tu ili kupata sifa ya kutufunza evolution, kitendo cha mtu kuadopt mazingira pia kwako ni evolution,mtu aweza kwenda shimoni kariakoo kwa mara ya kwanza atasikia harufu kali possibly na chafya,engineer wa miili yetu 'Mungu' aliitengeneza miili katika mfumo ambao ni wa kimchakato sio static hivyo inauwezo wa kujizoesha kulingana na mazingira ndiyo maana hata halufu ikiendelea kuwepo mwili utajibadili kuhimili na utakuwa huisikii tena,kwa wanasayansi na mabingwa wa kukariri kama wewe hiyo tu itakuwa na evolution ???!!! kama kwa binadam sio evolution kwanini kwa bakteria iwe evolution ? kama ni evolution basi, evolution haihitaji mamilioni ya miaka kama mnavyojidanganya ili kujificha, ma striker wa sayansi ni mabingwa wa kufunga kwa kuhamisha gori...
Scrap... what are those science many answers with their corresponding question,and what are the questions that religion lacks answers ?
Naweza kukwambia evolution ipo sahaihi.
Lakini for the sake of argument, hata kama si sahihi, hili hali prove kwamba mungu yupo.
Ni kama vile tumekuta mpira ndani ya nyumba. Mimi nasema "huu mpira umeletwa na John humu, kwani nimemuona alivyouleta"
Wewe unasema huu mpira lazima utakuwa umeumbwa na bibi ndani ya nyumba, kwa sababu John hawezi kuwa ameuleta humu, ona hapa na hapa. Unanionyesha jinsi gani hii theory yangu ya kwamba John kauleta mpira ndani ya nyumba ilivyo mbovu.
Mimi nakwambia sawa, inawezekana nimekosea, labda John hajauleta mpira ndani ya nyumba.
Wewe unasema unaona, John hajauleta ndani ya nyumba, na kama John hajauleta ndani ya nyumba basi lazima umefumwa na bibi.
Mimi nakwambia hata kama John hajauleta ndani ya nyumba, hilo halionyeshi mpira umefumwa na bibi. Itabidi unionyeshe ushahidi kwamba mpira umefumwa na bibi.
Wewe unakazania kusema John hajauleta ndani ya nyumba kwa hiyo ni lazima uwe umefumwa na bibi. A logical "Non Sequitur"
It does not follow kwamba kama mpira haujaletwa ndani ya nyumba na John, basi lazima utakuwa umefumwa na bibi. Inawezekana kuna mtu mwingine ambaye hatujamtambua bado kaleta mpira.
It does not follow that, if evolution is wrong, then creation must be the beginning of life. You must show the evidence of creation separately. Because for all we know evolution and creation could both be wrong.
kiranga,
hapa ni sawa na kusema mpira huu hapa kuna aliyeuleta wewe unasema umejileta wenyewe nachurali hapa ndio tunapobishana.
muda lazima uishe, ngoma kali hii.
Kabla ya kuniombea mungu anilinde kwanza ni convince kwamba yupo, ama sivyo nitaona unanizuga tu.
Kama mie ninavyoweza kukuzuga kwa kukurudishia "Willy Gamba akulinde"
Kama vile kitabu cha "Njama" kilivyo cha Willy Gamba.
You got it. You would be surprised to see so many people do not get this.
Science admits to being fallible and at best convergent.
But who is this "science"?
You are welcome to pick up the baton and research and write papers etc. The scientific community welcomes that.
Try that shyt in religion and they will hang you even if you are certified as mentally challenged like this Pakistani girl.
And to think that sane people do this in the name of religion? They look like the ones who are insane.
No Bail Yet For Pakistani Girl Accused of Blasphemy « VOA Breaking News
Nimeuliza hapo juu kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya, maovu, umasikini, magonjwa etc kama tulionao?
Watoto wachanga wanakufa bila hata kujua utamu wa maisha, tena vibaya vibaya, kwa maumivu makali.
Hata mie ningekuwa na uwezo wa kuumba dunia bila shurti nisingeumba dunia yenye mabaya kama hii, kwa nini huyu mungu mwenye uwezo wote na upendo wote karuhusu haya?
kiranga,
hapa ni sawa na kusema mpira huu hapa kuna aliyeuleta wewe unasema umejileta wenyewe nachurali hapa ndio tunapobishana.
Nimeuliza hapo juu kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu wenye mabaya, maovu, umasikini, magonjwa etc kama tulionao?
Watoto wachanga wanakufa bila hata kujua utamu wa maisha, tena vibaya vibaya, kwa maumivu makali.
Hata mie ningekuwa na uwezo wa kuumba dunia bila shurti nisingeumba dunia yenye mabaya kama hii, kwa nini huyu mungu mwenye uwezo wote na upendo wote karuhusu haya?
Utajifunza lini ku quote? Karibu nakuchoka!
Nisha dismiss evolution for the sake of argument.
Hata nikisema sijui mpira umetoka wapi, hili halimaanishi ni lazima uwe umefumwa na bibi.
Kutojua maisha yameanzaje, hata kama evolution si kweli, hakuna maana kwamba mungu kaumba maisha.
Tatizo lako unapinga jambo/kitu bila wewe mwenyewe kuja na hoja baada ya kuvipitia 'Vitabu'. Maswali yako yote yanajibika, ila ungekuja na hoja moja kwa moja unayoipinga ndani ya 'Kitabu'
red. Ukitaka kuwa mkweli ungeandika,HAKUNA MAANA KWAMBA MUNGU KAUMBA AU HAJAUMBA MAISHA.