ubishi mwingine wa kijinga kwa mtu mwenye hekima na busara, kasome biblia kuhusu uumbaji wake,kama tumeumbwa kwa sura na mfano wake atashindwaje kusema na watu weusi? Na je binadamu wa kwanza alikuwa mweusi,mweupe au?je unaweza kubishana na mjapani kuwa toyota ya kwanza haikuwa hivi ilikuwa vile? Chukua tahadhari unapobishania kuhusu uumbaye wa aliye mkuu wa wakuu au kama mungu wako ni mganga ni sawa
Mimi siamini kwamba mungu yupo. Sijapata ushahidi wa kuniaminisha kwamba mungu yupo.
Wewe unaniambia, ili kuamini nikasome biblia, kitabu ambacho mungu kakiakndika.
Several problems with this line of thinking.
1. Inabidi uniaminishe kwamba mungu yupo kwanza, kabla ya kutaka nisome kitabu chake kwa mtazamo wa kusoma kitabu cha mungu.
2.Halafu una assume tu kwamba sijasoma biblia. This is wrong. Biblia nimeisoma kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo, halafu nikaisoma kinyumenyume kutoka Ufunuo mpaka Mwanzo, by age 11!
Hizo habari rejareja za binadamu wa kwanza kuwa mweusi au mweupe hazijibu swala la kuwapo kwa mungu.
Halafu concept nzima ya "binadamu wa kwanza" ina betray lack of knowledge of science.