Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

igwe za mwenzako changanya na zako.za mashariki magharibi changanya na zako halafu utapata conclusion iliyonzuri.
 
Kama mungu si kama mimi na wewe na namna yake anavyofanya mambo si namna ya kueleweka kwangu mimi na wewe, wewe umejuaje hilo? Binadamu yeyote anawezaje kumuelewa huyo mungu?

Na kama kuna binadamu kaweza kumuelewa mungu huyu, kwa nini mimi nisimuelewe?

You can't have it both ways.

Kama mungu haeleweki na binadamu maana yake hao walioandika biblia kwa kusema wameongozwa na mungu basi wamedanganywa.

Kama mungu anaeleweka na binadamu ndo maana watu wameandika vitabu vyake, basi hata binadamu kama mie ntaweza kumuelewa.

Unaposema mungu anaongea na selected ones, una maana mungu ni mbaguzi?

Kwa nini apendelee wengine na wengine awaaache?

ungeweza kukubali uwepo wa mungu basi ungeweza pia kuelewa namna anavyosema na watu na kwa nini hajasema na wewe.
 
By the way,

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?

Akiweza kuliumba, si mungu anayeweza yote, maana atashindwa kulibeba.

Asipoweza kuliumba, si mungu anayeweza yote, maana hawezi kuliumba jiwe hili.

Ukichunguza sana unaona idea ya mungu muweza yote ina maswali mengi kuliko maswali na kama hayajapewa majibu yachukuliwe kama hadithi tu.

'By the way

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?' ZITO KWA VIPIMO VIPI ? lbs au kgs, hayo yote ni mbali na Mungu ambaye ni roho na uwezo wake ni nje ya uwezo wa kibinadam unaotegemea milango mitano ya fahamu. Kiranga zinduka MUNGU sio binadam na uwezo wake ni zaidi ya uwezo wa binadam kutambua njia zake. UWEZO WAKO WA KUKARIRI NI MKUBWA SANA KIRANGA, tatizo lipo kwenye kutafakari,kutafakari zero kabisa.

Kwa tafakari yako lazima idea ya mungu iwe kituko kwako, bahati mbaya kuelewa uwepo wa Mungu hakuhitaji kukariri kunahitaji kutafakari,Pole mkuu.
 
wewe kama unamwogopa kiranga ni wewe kiranga wakawaida sana, tena sana hana kipya kwani uwongo hajakariri kama umesoma basi utajuajua kabisa kakariri ndio maana anashikilia misimamo na kutoa mifano ya vitabuni,
mimi sikariri nafikiri nasoma natafakari na kuongeza na za kwangu.
unafikiri anayoyasema yeye kapata wapi kama sio mivitabu ya mashariki ya kati. ndio maana nimemwambia kuwa kuamini pia ni kuchagua kwa vile yeye ameamua kuchagua kuamini theories za wanaokataa uwepo wa mungu basi asiwaone wajinga wanaokubali kwani nao wamesoma za wengine na kuziona zinamashiko.yeye huyo kiranga na mafilosophi yake na marx,sijui wanasayansi,hegel volter yote ni matheory tu kama vile theorist wengine walivyochanganua otherwise,
hivyo sote ni product ya elimu hiyohiyo ya watu.
hata hivyo kiranga ajue tu kuwa wapo wasomi wazuri sana waliokaa chini na kutafakari na kufanya scientific test juu ya mambo mbalimbali na kuona wanasayansi nao hawajui wanalolisema when it comes to god.
kuamini mungu sio ujinga kama anavyoona kiranga yaweza kuwa ni busara kushinda wale wajiitao wasomi na kuukana uwepo wa mungu na huku wanabaki na maswali mengi yasiyo na majibu.
yeye huyo mbona alishindwa kusema chanzo cha dunia na mfumo mzima wa jua nini? oh bigban theory,or nini alot os scientific teminologies ambazo zimeshindwa kueleza chanzo haswa cha kila kitu.
mimi namwona kama mtu tu aliyeamua kushikilia msimamo fulani kwa mapenzi yake lakini msimamo huo pia hauna mashiko na wala haujitoshelezi.
unataka kuprove uwepo wa mungu kwa kumshika?
poleni

Iron Lady_mimi sio mtu wa hivyo..wa kuogopa ogopa watu ama vitu kama unavyofikiri....dunia inajua na hata mimi mwenyewe najijua.
 
igwe za mwenzako changanya na zako.za mashariki magharibi changanya na zako halafu utapata conclusion iliyonzuri.

Kwa kukusaidia mimi sio mvivu wa kutafuta maarifa....hivyo sio kwamba labda nanyonya kama dodoki...in contrary_nafikiri wewe na rafiki yako elisha ray(anayekuja na hadithi za kuoteshwa mafuriko sept'12) hapo juu ndio mmekaririshwa kanisani/msikitini na mkanyonya kama sponji......anyway_hata mimi ni muumini wa dini mojawapo hizi za kuletwa na meli kwa kuzaliwa na wazazi wakristo.
 
Iron Lady_mimi sio mtu wa hivyo..wa kuogopa ogopa watu ama vitu kama unavyofikiri....dunia inajua na hata mimi mwenyewe najijua.

uliposema chezea kiranga waweeee ilimaanisha mimi ndio namuogopa kiranga kumwambia napenda anavyo argue haikumaanisha namuogopa nakubali na napenda anavyojenga hoja kwa sababu hapa hatugombani tunaelimishana na kujuzana.na kamwe msimamo wa kiranga haujaniconvice kukubali kuwa mungu hayupo kwa sababu zake alizozitoa na sio hapa tu toka katika post zingine nyingi alizojitahidi kutetea hoja zake, kama na yeye alivyoamua kutokubali za kwangu na wengine kuwa mungu yupo simple na clear.
 
Sisi wa maghorofa ya TBL Ilala ikinyesha mvua kwetu taabu sana maana upepo unaiingiza hadi vyumbani. Inyesha kote isije ilala.
 
'By the way

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?' ZITO KWA VIPIMO VIPI ? lbs au kgs, hayo yote ni mbali na Mungu ambaye ni roho na uwezo wake ni nje ya uwezo wa kibinadam unaotegemea milango mitano ya fahamu. Kiranga zinduka MUNGU sio binadam na uwezo wake ni zaidi ya uwezo wa binadam kutambua njia zake. UWEZO WAKO WA KUKARIRI NI MKUBWA SANA KIRANGA, tatizo lipo kwenye kutafakari,kutafakari zero kabisa.

Kwa tafakari yako lazima idea ya mungu iwe kituko kwako, bahati mbaya kuelewa uwepo wa Mungu hakuhitaji kukariri kunahitaji kutafakari,Pole mkuu.

tena anawaita wenzake wajinga sasa sijui alikuwa anamaanisha ujinga wa kutojua au ujinga wa tusi.kama kiranga anawaona wenzake waliotafakari na kufanya several test kuwa mungu yupo ni wajinga (kwa maana ya kutojua basi) na yeye ni mjinga kwa kutojua kuwa mungu yupo.
anataka kuprove mungu kwa kumuona kwa macho yake na kumshika kwa mikono yake!
kama vile anaweza kuishika time katika mikono yake, na kuiona kwa macho yake ndio aikubali kuwa time nayo inaexist?
 
uliposema chezea kiranga waweeee ilimaanisha mimi ndio namuogopa kiranga kumwambia napenda anavyo argue haikumaanisha namuogopa nakubali na napenda anavyojenga hoja kwa sababu hapa hatugombani tunaelimishana na kujuzana.na kamwe msimamo wa kiranga haujaniconvice kukubali kuwa mungu hayupo kwa sababu zake alizozitoa na sio hapa tu toka katika post zingine nyingi alizojitahidi kutetea hoja zake, kama na yeye alivyoamua kutokubali za kwangu na wengine kuwa mungu yupo simple na clear.

Now you are talking.....!....hata mimi nilimaanisha hoja za Kiranga kwenye mambo haya ni nzito na wala sio za kupuuza hata kidogo....na tuendelee kutafakari kwa maarifa zaidi na zaidi.
 
Kwa kukusaidia mimi sio mvivu wa kutafuta maarifa....hivyo sio kwamba labda nanyonya kama dodoki...in contrary_nafikiri wewe na rafiki yako elisha ray(anayekuja na hadithi za kuoteshwa mafuriko sept'12) hapo juu ndio mmekaririshwa kanisani/msikitini na mkanyonya kama sponji......anyway_hata mimi ni muumini wa dini mojawapo hizi za kuletwa na meli kwa kuzaliwa na wazazi wakristo.

kwa taarifa yako mimi sikariri vitu kama ovyoovyo na kila kitu kwangu lazima kipite katika namna ambayo mimi nimeitafakati ktk elimu yangu ufahamu wangu na busara zangu,na kukubali na kukataa katika namna ninayoona mimi inafaa sio kila kilichopo kanisani nakikibali la hasha. na sikariri za mashariki na magharibi ovyoovyo, nachanganya na za kwangu.
usifikiri mimi nameza tu kama mwenzio kiranga anavyokujaga hapa na mateminology na midude migumu ya vitabuni.
 
tena anawaita wenzake wajinga sasa sijui alikuwa anamaanisha ujinga wa kutojua au ujinga wa tusi.kama kiranga anawaona wenzake waliotafakari na kufanya several test kuwa mungu yupo ni wajinga (kwa maana ya kutojua basi) na yeye ni mjinga kwa kutojua kuwa mungu yupo.
anataka kuprove mungu kwa kumuona kwa macho yake na kumshika kwa mikono yake!
kama vile anaweza kuishika time katika mikono yake, na kuiona kwa macho yake ndio aikubali kuwa time nayo inaexist?

Mmmmhhhhhhhhhhhhhh...mimi sijui kwa kweli.
 
Now you are talking.....!....hata mimi nilimaanisha hoja za Kiranga kwenye mambo haya ni nzito na wala sio za kupuuza hata kidogo....na tuendelee kutafakari kwa maarifa zaidi na zaidi.

bado hoja za kiranga ni nyepesi sana na zakawaida hajafanikiwa kuniconvice mimi nikaacha kuamini mungu ama kudoubt uwepo wake hivyo hoja zake si nzito.
 
[/B]
kwa taarifa yako mimi sikariri vitu kama ovyoovyo na kila kitu kwangu lazima kipite katika namna ambayo mimi nimeitafakati ktk elimu yangu ufahamu wangu na busara zangu,na kukubali na kukataa katika namna ninayoona mimi inafaa sio kila kilichopo kanisani nakikibali la hasha. na sikariri za mashariki na magharibi ovyoovyo, nachanganya na za kwangu.
usifikiri mimi nameza tu kama mwenzio kiranga anavyokujaga hapa na mateminology na midude migumu ya vitabuni.

ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_migumu kwani imeandikwa kiaarabu...?
 
Wakuu, I hope wote mko poa kabisa. Nataka kuwashirikisha jambo. Kuna hali ya mafuriko makubwa yanayokuja kutokea Tanzania mwezi ujao. Kuna watu ambao Mungu amesema nasi ili tuombe toba kwa ajili ya nchi ili hali hii isitokee na hasa kama itatokea basi isilete madhara ambayo yanaweza kutokea kama hatutaomba Mungu atunusuru na maafa.

Nchi yetu 'imemezwa na chatu'. Hii maana yake ni kwamba nchi hii imetumbukia katika uchawi na kumwabudu shetani as nyoka ni shetani as well as uchawi/ushirikina. Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini au katika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazi zake zote i.e uuaji na umwagaji wa damu zisizo na hatia, uchawi, wizi, uongo na pia ukahaba umekithiri, uaminifu umepungua sana, ufisadi, upagani, ibada za mizimu, kuabudu shetani na mambo mengine yote yafananayo na hayo na kumchukiza Mungu na amekasirika. Mambo yote haya tunayaona day in day out. Na watu wanafurahia watu waovu na uovu kuliko uadilifu na watu wanaotetea haki.

Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyesha nini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama bado itatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.

Picha ya mafuriko yanayokuja yanaonyesha mvua kubwa sana ya kutisha na nusu ya Dar ikiwa imemezwa na maji ambayo yamechanganyika na maji ya bahari. Hii inaashiria gharika au kimbunga chenye mvua kubwa.

Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajili ya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachagua mwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili. Tafadhali mshirikishe na mwenzio.
Nimewashirikisha ili isije kula kwetu tuliopewa huu ujumbe kama tutakaa kimya bila kushirikisha wengine pia waombe.

Usichangie kwa kukashifu na kama huna mchango au huamini basi wewe pita tu na Mungu atakubariki.
Mathayo 18:18, 2 Nyakati 7:14, Isaya 62:6, 45:11

Dar es Salaam Month Weather - AccuWeather Forecast for Dar Es Salaam Tanzania
mkishapita huko ndio mnapata data za kutabiri? Jamani msichanganye mambo ya Mungu na ...
 
'By the way

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?' ZITO KWA VIPIMO VIPI ? lbs au kgs, hayo yote ni mbali na Mungu ambaye ni roho na uwezo wake ni nje ya uwezo wa kibinadam unaotegemea milango mitano ya fahamu. Kiranga zinduka MUNGU sio binadam na uwezo wake ni zaidi ya uwezo wa binadam kutambua njia zake. UWEZO WAKO WA KUKARIRI NI MKUBWA SANA KIRANGA, tatizo lipo kwenye kutafakari,kutafakari zero kabisa.

Kwa tafakari yako lazima idea ya mungu iwe kituko kwako, bahati mbaya kuelewa uwepo wa Mungu hakuhitaji kukariri kunahitaji kutafakari,Pole mkuu.

Kama mungu ni roho na uwezo wake uko mbali hivyo na uwezo wa binadamu unaotegemea milango mitano ya fahamu, wewe umemjuaje?
 
Back
Top Bottom