Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Hivi ni kwa nini watu walikuwa "wanamkandia" yule babu wa loliondo?
 
Watu waliopewa dhamana kwenye taifa hili iwe serikalini au katika kanisa wamesahau wajibu wao na badala yake wanamkumbatia shetani na kazi zake zote
We hapa uko upande gani???

Kwa yeyote mwenye mzigo wa kuliombea Taifa hili tafadhali omba toba kwa ajili ya nchi yetu na ufunge kwa siku tatu kawaida na sio tatu kavu (utachagua mwenyewe siku za kufunga) ili Mungu atuepushie na balaa hili.
Tayari tusha epukana na balaa coz kuna wenzetu wamefunga zaidi ya siku tatu

Mungu anaipenda sana Tanzania lakini anachukia uovu huu ndio maana ameonyesha nini kinakuja ili tuombe toba atusamehe na atunusuru na hali hiyo na kama bado itatokea basi isilete madhara makubwa au yasitokee kabisa.
Hili umelijuaje?? Kwa ndogo au uliongea nae ana kwa ana?? Kama ni kwa ndoto mbona kuna muda unaota wewe ni tajri na ukiamka unajikuta wewe ni yuleyule?? na kama ni ana kwa ana, kwanini hukumsihi apunguze adhabu???
 
Ukiona nyoka kwenye ndoto au maono maana yake ni uchawi au ni shetani mwenyewe. Nyoka hana ishara zaidi ya hizo mbili unless una tafsiri nyingine. Kwa maono haya imeashiria uchawi maana hii nchi imetumbukia humo na naamini unaelewa ninachosema hapa.

Fimbo ya Mussa ilipogeuka kuwa nyoka,nyoka katika hili alikuwa ni shetani? achana na kudanganywa kwa kukariri objects kutafsiri ndoto badala yake omba Roho Mtakatifu akupe maana au tafsiri sahihi ya ndoto yako! Lazima uenende katika ufahamu hizi ni nyakati ambazo Mungu anazungumza na watu wenye ufahamu na uelewa.
 

Ulikuwa una maana hii nchi ipo kwenye dhamana ya kanisa, kanisa lipi hilo? na nani aliyeitoa hiyo dhamana kwa kanisa?
 
Hamna kitu unachojua wala kuelewa hapa_yote ni abrakadabra na hekaya za kilokole zisizo na mshiko.
Kama wajumbe wa Mungu muumba wa mbingu na nchi wapo basi na wajumbe wa ibilisi wapo. Hakika upo kazini!
 
Kama wajumbe wa Mungu muumba wa mbingu na nchi wapo basi na wajumbe wa ibilisi wapo. Hakika upo kazini!

Na hayo ndio matatizo yenu....unaonyesha rangi yenu mlivyo.
 
By Safari_ni_Safari

Mungu hajawahi kusema na watu weusi!!!
Ndiyo maana wengine tushasema kwamba hayupo.[/QUOTE


kwa argument ya safari ni safari haiconclude kuwa mungu hayupo yaonesha kuwa yupo ila hakuwahi kusema na watu weusi.
 
 
Gosh!!, who will resque this land?, people still live in idealistic world while the world is in post-modern stage. Floods Tanzania in September!!!! real!!, are you crazy??!!!!

halafu watu wanashangaa kwa nini ccm wanashinda kola uchaguzi.

Kwenye sensa hakuna swali la kuhakiki kama mtu ni chizi au mzima?
 

ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa very childish,
umekariri falsafa za wenzio waliokana idea ya mungu kwa argument hizi, mimi, kiranga nakuona kama msomi aliyeamua tu kuushikilia upande mmoja wa mawazo usioshikika na unaoshindwa,unajitia kukariri na kutoa madude ya kisayansi ambayo hata mwenyewe huwezi kuyaelewa umejikaririsha na kukubali kuchagua eulewa wa kukupoteza, si mbaya i take you as a person who is still learning untill the time comes when you will be able to understand the "truth" you will be ready to accept that god exist.
haohao wanafalsafa walifika mahali wakakubali hao wanasayansi wenzio(i doubt kama wewe ni mwanasayansi)ila kwa vile wewe umesoma sayansi unajidanganya kuwa unijua sayansi, you will never prove god existance in labolatory,huwezi mshika wala huwezi kumwona kwa macho, kama unataka sayantific ways to prove so.

kasome vizuri falsafa ulizokariri zipo zingine zilizoeleza vizuri uwepo wa mungu na kumake sense than those which hits around the bush.
najua utarudi mkali macho yanekutoka unijibu hoja hizi utarudia palepale nothing new.
 
 

Hujajibu swali.

Basically unachosema ni kwamba god is incomprehensible.

I can also equally say there is an incomprehensible lost tribe of the Chaggas, possesing three arms, legs and eyes, roaming the top of Mount Kilimanjaro.

And you wouldn't be able to disprove this.
 
 
Mungu hajawahi kusema na watu weusi!!!
Logically hiyo siyo kweli. Ukweli ungekuwa Mungu wa Wayaudi na wazungu (Judeo-Christian God) hajawahi kusema na Waafrika. Ila kila mtu anasema na Mungu wake kila siku. Kuna ile sauti yako ya ndani inayokwambia usitende hili ni baya au tenda hilo ni zuri, huyo ni Mungu wako anaongea na wewe. Zingine ni blah blah na brain washing ambazo bahati mbaya zimetuathiri Waafrika kuliko hata wale waliozianzisha. Kwa mantiki yako ni kama unakubali ujinga ule wa kuwa kabla wazungu/waarabu hawajafika na dini zao mbinguni hakukuwa na nafasi kwa ajili ya Waafrika hata kama walikuwa watu wema kiasi gani. Think like a Great Thinker.
 
 
Ukiona nyoka kwenye ndoto au maono maana yake ni uchawi au ni shetani mwenyewe. Nyoka hana ishara zaidi ya hizo mbili unless una tafsiri nyingine. Kwa maono haya imeashiria uchawi maana hii nchi imetumbukia humo na naamini unaelewa ninachosema hapa.

Je, ni kwa nini hospitali nyingi kubwa( Mfano KCMC) wana nyoka kwenye nembo yao? Hii ina maana kuwa wanatibu kwa uchawi au shetani?
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…