Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Nilikuwa nakudanganya, na ulivyo mwepesi wa kukariri joja ukakubali, hapana bado nipo mzee wangu, isipokuwa nilitaka nipumzike kidogo kusikia *****! Tatizo umekariri sayansi wakati siyo mwanasayansi, you think everything's verification is subject to emperical objective evidence, simply sayansi inasema hivyo,..., a grave mistake.

Kwa mfano, sauti yako unayotumia kuongea kila siku ulishawahi kuiona kwa kutumia your natural eyes? Kwa nini hujawahi kusema kwamba haipo? Au kwa nini maneno unayotamka huwa huyaoni ila huwa unayasikia tu hadi imebidi watu watumie utaalamu wa maandishi kuhifadhi maneno? Wewe unataka kila kitu kiwe tested na scientific instrument? How do you test things in a spritual world kwa kutumia scientific instrumenst? Before discovery ya sophisticated instruments ambazo zinaweza kumpima mtu na ku-confirm kama yuko usingizini na/au anaota (wewe unajua kabisa kwamba huwa unalala na unaota) ungeweza ku-argue kwamba watu huwa hawawi usingizini au hawaoti kwa sababu, by then hapakuwa na scientific instuments za kutest hiyo? Naona wewe hujasoma sayansi na wala huielewi unachemka chemka tu, tafuta mda nikupe tution at a very advanced level. Unatumia ujanja ujanja tu wa kukusanya habari kutoka kwenye vijarida na mitandao, na kukariri kichwani ili uje uvitumie katika kubishana na siyo kutoa hoja. You think huo ndiyo usomi. TAFUTA MUDA NIKUPE LECTURES NZURI SANA ZA SAYANSI, HASA PHYSICS, AT A VERY ADVANCED LEVEL. KALAGABAHO!

Kumbe unadanganya danganya kitoto tu.

Sina hakika kama hapa napo hujanidanganya, na hivyo sioni haja ya kuendelea kujibizana na mtu anayedanganya danganya.

Ushajiondolea credibility.
 
Mi sijibu wanaokimbia. We siye uliyesema nimekukimbia hapa?

Anayesema anaijua sayansi haijui. Wacha mapepe.

Wewe hata quote yako mwenyewe inakusuta.

"Believe those seeking the truth, doubt those who find it"; Andre Gide"

Nilikuwa nakudanganya, na ulivyo mwepesi wa kukariri joja ukakubali, hapana bado nipo mzee wangu, isipokuwa nilitaka nipumzike kidogo kusikia *****! Tatizo umekariri sayansi wakati siyo mwanasayansi, you think everything's verification is subject to emperical objective evidence, simply sayansi inasema hivyo,..., a grave mistake.

Kwa mfano, sauti yako unayotumia kuongea kila siku ulishawahi kuiona kwa kutumia your natural eyes? Kwa nini hujawahi kusema kwamba haipo? Au kwa nini maneno (tafadhali tofautisha maneno na sauti) wanayotamka watu huwa huyaoni ila unayasikia tu hadi imebidi watu watumie utaalamu wa maandishi kuyahifadhi? Wewe unataka kila kitu kiwe tested na scientific instrument? How do you test things in a spritual world kwa kutumia scientific instrumensts?

kwa mfano, before discovery ya sophisticated instruments ambazo zinaweza kumpima mtu na ku-confirm kama yuko usingizini na/au anaota (wewe unajua kabisa kwamba huwa unalala na unaota) ungeweza ku-argue kwamba watu huwa hawawi usingizini au hawaoti kwa sababu, ya scientific instuments za kutest hiyo? Naona wewe hujasoma sayansi na wala huielewi unachemka chemka tu, tafuta mda nikupe tution yake at a very advanced level. Unatumia ujanja ujanja tu wa kukusanya habari kutoka kwenye vijarida na mitandao, na kukariri kichwani ili uje uvitumie katika kubishana na siyo kutoa hoja, halafu ukiona huwezi unaanza ku-quote sentenis hadi sentesi. You think huo ndiyo usomi.

TAFUTA MUDA NIKUPE LECTURES NZURI SANA ZA SAYANSI, HASA PHYSICS, AT A VERY ADVANCED LEVEL. KALAGABAHO!
 
lol haya bwana naona kizazi cha joshua wa emmanuel tv kipo Tanzania pia
Mungu alishesema hataangamiza tena binadamu kwa gharika kama ilivokuwa wakati wa Nuhu
kama wewe umefunuliwa hivo basi yelekea Mungu alitoa ahadi ya uwongo pale alipotupa ishara ya Upinde wa mvua.Genesis 9:8 hadi 11.
kama mafuriko yatakuepo ni kwa vile sisi wenyewe tumeharibu mazingira au ni matetemeko ya kawaida hayahusiani na ghadhabu ya Mungu.
hata hivo sikatai kuwa tanzania imetumbukia katika uovu wa kutisha hata shetani mwenyewe anatushangaa
nakuunga mkono kuwa tusali daima kuomba msamaha na tuwe na toba ya kweli
ila tusiseme ni ghadhabu ya Mungu kwani ametupa uhuru wa kuchagua kumfuata yeye au kumfuata Ibilisi;

sidhani kama umemwelewa huyu mtoa mada, na suala la Mungu kipindi kile cha Nuhu alikuwa na makusudio tofauti embu rudi tena ktk Biblia mkuu.
 
Sipingi alichosema Elisha Ray lakini nataka kumwambia kwamba huu siyo wakati wa kukariri kwamba Object fulani ni kitu fulani katika ndoto au vision. Nyoka siyo wakati wote ni shetani hivyo siyo vyema kuweka katika ufahamu wako kwamba ukiona Nyoka basi ujue ni shetani bali ni vizuri kuomba Roho wa Mungu akufunulie ili ujue kwa hakika mawazo ya Mungu kuhusu jambo hilo alilosema nawe.

Utumishi wa mazoea na kukariri zama zake zimepitwa na wakati ni vizuri kutomzoea Mungu wala kukariri.

Ukiona nyoka kwenye ndoto au maono maana yake ni uchawi au ni shetani mwenyewe. Nyoka hana ishara zaidi ya hizo mbili unless una tafsiri nyingine. Kwa maono haya imeashiria uchawi maana hii nchi imetumbukia humo na naamini unaelewa ninachosema hapa.
 
Duh! Kupotea kidogo tu dicussion naona imeenda out of topic kidogo. Msigombane wajameni au ndo kuelimishana kwa sauti ya juu? Tena kwa mada tofauti na nloandika? LOL! Jamani msipuuzie this issue. Sio peke yangu niliyeona au kusemeshwa na Mungu kuhusu hili jambo na kama huamini ingia kwenye maombi muulize Mungu na atakwambia tu. Kila mtu ameshawahi semeshwa na Mungu katika maisha yake ila tatizo linakuja kuelewa kama ni Mungu amesema na wewe au la. Wengi wanaishia kusema 'nimeota hivi, nimeota vile'. Ndoto si za kupuuza na ni ujumbe unapewa na Mungu achilia mbali pale unapoota unayoyawaza. Maovu yetu yanatufanya tusimsikie Mungu au tusielewe anachosema. Wapo wanaoona au kusikia maagizo ya Mungu au kuota ndoto ambayo wengi wanaota. Pia waweza kuona kabisa kitu kama maono na kama huelewi muulize Mungu atakwambia ni nini. Ukikaa na Mungu vizuri utamsikia tu na kumuelewa maana kama hutaelewa bado utaingia kwenye maombi na atakuelewesha tu. Ili mradi tu unamwamini na unamwomba katika roho na kweli na si kinyume na hapo.

Kama unaamini wewe omba ili mafuriko yasitokee na hata yakitokea basi madhara yake yawe madogo. Kama huamini toka mabondeni. Tusiwe wepesi wa kukashfu mada kwani sio wote wanaoandika humu wana nia mbaya wana mzaha. Kuna watu walipuuza pale jamaa mmoja alipoandika kuhusu ajali ya ndege nchini na kama kawaida watu wakakebehi na ajali ikatokea Kigoma. Thank God hakuna aliyekufa. Watu waliomba ndo maana hakukuwa na maafa. Mungu ni wa wote na si wa waarabu au waisrael... Kama humsikii fanya juhudi umsikie na utamsikia tu.. OMBENI!!!!
 
kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, ndivyo ilivyo hadi sasa. Nabii anawaonesha yale yatakayokuwa, ninyi mnaleta Mzaha. Mkuu, tuko pamoja katika kuiombea nchi, na kwa ajili ya maombi yetu, mabaya hayataipata Tanzania.
 
Mtumishi Elisha wewe kanisa lako linaitwaje? Milima ya moto? Milima ya maji? River of babylon? Fgbf? Na mafuriko yasipotokea utasemaje? September after two weeks tu!!
 
Some of these people!

Sasa mtu kama huyu ndo natakiwa kumpa classical arguments za theology, nipige manyanga kama namjibu St Anselm au St Augustine.Nimwage ma utirio ya kina Russell na yaliyokuwa informed na arguments za dini za kiafrika kutoka kwa Mbiti.

It's gonna be a waste.

Where is Augustine when you need him?

You are very arrogant sir,mtu kukosea spelling haimaanishi hajui anachokiandika I assure you one thing boss before you die you will one day see the hand of God in your life and you will be a very good believer before you get 6 ft under.
 
Ingekuwa nakwenda kwa spelling tu labda ungekuwa na pointi.

Abadan.

Have you seen the hand of god?

Does his fingers bear unique fingerprints?

Mie huko unakosema nitafika, ndipo nilipotoka kwa hiyo hamna chochote ambacho utasema kutoka a believers perspective ambacho sitakijua.

You see my grandfather was raised in a vicarage- and became the vicar-, I was literally raised by the book, kwa hiyo siongei dini na imani, naongea theology na cosmogony.Sio kama mtu ambaye hajawahi kusikia neno, bali mtu aliyezaliwa katikati ya neno.

Hujajibu maswali yote ya msingi yaliyoulizwa.
 
Haya bwana . Bora hili linchi limezwe na mafuriko watu wapumzike michosho ya kuibiana, kuoneana, kunyanyasana kwa kivuli cha amani feki.
 
Ingekuwa nakwenda kwa spelling tu labda ungekuwa na pointi.

Abadan.

Have you seen the hand of god?

Yes I saw the hand of God,I have seen today and I will keep on seeing it sir

Does his fingers bear unique fingerprints?

Yes very Unique

Mie huko unakosema nitafika, ndipo nilipotoka kwa hiyo hamna chochote ambacho utasema kutoka a believers perspective ambacho sitakijua.

You see my grandfather was raised in a vicarage- and became the vicar-, I was literally raised by the book, kwa hiyo siongei dini na imani, naongea theology na cosmogony.Sio kama mtu ambaye hajawahi kusikia neno, bali mtu aliyezaliwa katikati ya neno.

Hujajibu maswali yote ya msingi yaliyoulizwa.

Who is interested in your grandfather? Unaweza kuwa umezaliwa katika neno ukakulia katika neno lakini usiliishi neno

Sijaona swali la msingi hata moja hapo zaidi ya Pumba tu!!!!!!! Hiyo Theology sijui umeikariri wapi,Huwezi kuprove uwepo wa Mungu kwa kutumia sayansi ni kupoteza muda tu hakuna maabara utayoingia kuprove uwepo wa Mungu so if you don't believe in Him Pole sana.
 
Historia ilitolewa ili usifikiri kwamba silijui neno.

Anayekanusha hana haja ya ku prove, anatakiwa kuuliza swali tu.

Anayesema kwamba mungu yupo ndiye anayetakiwa ku prove.

Unaweza ku prove kwamba mungu yupo?

Wewe unaniambia ni "believe" tu kwamba mungu yupo? Bila proof?

Unaweza kuniambia kwa nini nisi "believe" tu kwamba mungu hayupo?

BTW, fingerprints za mungu umezionaje wakati mungu anatakiwa kuwa haonekani?

Usilete ushairi hapa ndo kwake.
 
By the way,

Mungu anayeweza yote anaweza kuumba jiwe zito kiasi kwamba yeye mwenyewe hawezi kulibeba?

Akiweza kuliumba, si mungu anayeweza yote, maana atashindwa kulibeba.

Asipoweza kuliumba, si mungu anayeweza yote, maana hawezi kuliumba jiwe hili.

Ukichunguza sana unaona idea ya mungu muweza yote ina maswali mengi kuliko maswali na kama hayajapewa majibu yachukuliwe kama hadithi tu.
 
kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, ndivyo ilivyo hadi sasa. Nabii anawaonesha yale yatakayokuwa, ninyi mnaleta Mzaha. Mkuu, tuko pamoja katika kuiombea nchi, na kwa ajili ya maombi yetu, mabaya hayataipata Tanzania.
Amen! Amen!
 
Mtumishi Elisha wewe kanisa lako linaitwaje? Milima ya moto? Milima ya maji? River of babylon? Fgbf? Na mafuriko yasipotokea utasemaje? September after two weeks tu!!

Mkuu King, mimi sina kanisa ni muumini kama wengine tu ila nimempokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Ni kweli September is coming in two weeks' time but the month itself has 4 weeks na hayo mafuriko ni mwezi huo ila siku siijui. Tuendelee tu kumuomba Mungu kwamba kama itanyesha au kama ni tsunami basi isiwe na madhara na kama yapo basi yawe madogo.
 
Aiseeee baba yangu huku kwetu rombo itafika kweli??unanitisha mkuu

mbege yote imekatika kichwani
 
SAWA MKUU WENYE MACHO na masikio ya rohoni TUMESIKIA,wengine piteni salama me ntafunga siku saba .....mu gu akubaliki..
 
Back
Top Bottom