Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

Gosh!!, who will resque this land?, people still live in idealistic world while the world is in post-modern stage. Floods Tanzania in September!!!! real!!, are you crazy??!!!!

Remember the Global warming is is true science and one of the effect is the change of pattern and amount of rainfall. So it is possible to have flood in September. Kama ameambiwa na Mungu kweli yaweza kutokea kwani wakati wa NUHU ilikuwa hivyo hivyo. What matters is the authenticity of the man of God who gave out this revelation
 
Hamna mungu wala shetani.

Kama idara ya hali ya hewa inaona mvua zinakuja na kukuarifu, na wewe unakaa mabondeni bado, wewe ndiye shetani wako mwenyewe.

Ukiheshimu mazingira na kuhama utakuwa mungu wako mwenyewe.

Kwingine kote tnasingizia tu kwa kukosa kujua.

Kiranga,
Ulituma maombi ili uzaliwe? Nadhani tatizo langu mimi na wewe ni context ya neno Mungu. Walio wajinga kama mimi, wanasema kwamba ile "natural phenomenon" iliyosababisha mimi na wewe tukazaliwa bila kutuma maombi, na tukawa hatuna uwezo wa ku-reverse kitendo hicho, ndiye Mungu mwenyewe. Je, wewe mwenzetu uliyesoma, una maelezo gani hapo? What is it that is outside not only of your own control, but also to everyone else's? What are your projections about the kind of control people will have regarding the same, in let's 1 billion years to come?

If you persist this way, you will never come to experience God in your life! Na of course, utaendelea na hiyo principle yako ya "argumentum ad ignorantium". You only can experience God if and only if you KNOW or at least BELIEVE
that he is present! Either of the two or both, will make you experience him! Kalagabaho!
 
Yeah, nilituma maombi nizaliwe, soma reproduction katika biology. What's your point?

Walio wajinga kama wewe wanasema mungu ni "natural phenomenon", kwa nini unataka mimi niwasikilize walio wajinga kama wewe?

Huyu hapa hajaelewa kabisa context ya "utakuwa mungu wako mwenyewe".

Utasemaje kwamba mtu anayesema "utakuwa mungu wako mwenyewe" haelewi context yako vague ya mungu kama "natural phenomenon" au shorthand ya "the unexplained"?

In any case this is also a lazy way of sweeping the unexplained and natural phenomenon under one big rug of "god".

Sijawahi kupata ushahidi wa kushawishi kwamba mungu yupo, kwa hiyo ni kazi yangu kuwa mungu in the context ya kufanya mazuri ambayo mungu anatakiwa kufanya.
 
Mafuriko yataanzia bafuni kwa Rev. Masanilo na kusambaa nchi yote.
Mafuriko haya yataondoka na Le Mutuz, Mzee wa Mbayuwayu na Zitto Kabwe
 
Huku Goba maji ni ndoto, bora hayo mafuriko tuweke swimming pools majumbani mwetu
 
Yeah, nilituma maombi nizaliwe, soma reproduction katika biology. What's your point?

Walio wajinga kama wewe wanasema mungu ni "natural phenomenon", kwa nini unataka mimi niwasikilize walio wajinga kama wewe?

Huyu hapa hajaelewa kabisa context ya "utakuwa mungu wako mwenyewe".

Utasemaje kwamba mtu anayesema "utakuwa mungu wako mwenyewe" haelewi context yako vague ya mungu kama "natural phenomenon" au shorthand ya "the unexplained"?

In any case this is also a lazy way of sweeping the unexplained and natural phenomenon under one big rug of "god".

Sijawahi kupata ushahidi wa kushawishi kwamba mungu yupo, kwa hiyo ni kazi yangu kuwa mungu in the context ya kufanya mazuri ambayo mungu anatakiwa kufanya.

Kiranga;
Sasa ya nini kukaa unahangaikia advocacy ya miaka nenda miaka rudi? Mara ngapi hapa unasema kwamba Mungu hayupo na tumekusikia? If i were you, I would rather keep quiet, otherwise you are neither intelligent nor are you confident with your stand.

Nakumbuka kuna siku uliwahi kuibua debate ya namna hii nikakubana maswali ukashindwa kuyajibu, ukawa unaingia mitini. Sasa unakaa unaibua ibua ya nini tena ilhali kuna siku ulishindwa kujibu maswali?

Nilishakushauri kuwa kama unajua kuwa Mungu hayupo, be confident and keep your stand! siyo unakaa unababaika babaika na ku-punic punic tena kujaribu kutafuta uhakika kwa wengine! Mambo yako inabidi uwe na uhakika nayo mwenyewe kama huna uhakika uliza, na siyo kuuliza swali kijanja kama vile unatoa hoja! Argument yako moja tu kuhusu Mungu speaks a volume about you. Bahati nzuri wewe ni mwandishi mzuri wa kile ambacho si feelings za ndani kwako ulivyo!
 
Ni kweli kuwa MUNGU(JEHOVA), anakawaida ya kusema na wanadamu, tena husema mara nyingi zaidi kuliko tunavyo sikia na hatusikii kwasababu hatupo kwenye nafasi sahihi kusikia MUNGU asemacho, na kuna mifano mingi ya kibiblia inayoonyesha ukweli huu. Pia wakati mwingine anaweza kusema kwa habari za mtu mwingine kupitia jamaa zako au watu wanaokufahamu hasa kama akihisi mtu huyo hayupo kwenye nafasi ya kusikia au umezadharau ili kuhakikisha kuwa ni kweli habari zina mfikia muhusika. Na kwanchi pia Mungu huongea na watu kuwajuza yawapasayo, hivyo binafsi siwezi kushanga kama MUNGU amesema na watu juu ya Tanzania kwa sabaubu ni tabia yake kwa anaowapenda.

Naomba nisisitize hapa MUNGU akiongea kwa habari za mtu au taifa huu ni upendo muu kwa muhusika na ni muhimu kufuatilia.

Mambo mawili ni muhimu kuzingatia;
1. Jambo lililosemwa ni kweli lipo katika nchi na ni kweli kwa mujibu wa ufahamu wa mwanadamu ni Chukizo kwa MUNGU?, kama ni kweli basi mwenye ufahamu ni vizuri kuzingatia, kwani mifano ni mingi katika biblia ambayo watu walipewa taarifa wakadharau na yakawapata walioambiawa.

2. Nani anatoa taarifa?, Kimsingi maandiko yanaonyesha kuwa MUNGU alikuwa natoa taarifa juu ya nchi kupitia Manabii, Mitume na wakati mwingine hata Malaika kwa watu maalumu, pamoja na watu hao kupewa taarifa si wote walio ziamini ispokuwa waliojaliwa.

Hivyo basi kabla ya kukubali au kukataa, fanya bidii kutafuta habari kutoka kwa MUNGU ili ujihakikishie usalama wa au kukubali au kukataa.
 
Kwanza kabisa jifunze ku-quote vizuri hapa JF

Kiranga;
Sasa ya nini kukaa unahangaikia advocacy ya miaka nenda miaka rudi?

1. Sijahangaika.Mvivu wa kufikiri anaweza kuona kuandika hivi ni kuhangaika sana.Mtu anayependa intellectual exercise atafurahia mazungumzo haya, kwani ndiyo maana nzima ya forum. Naona wewe ndiye unayehangaishwa na maandiko yangu kiasi cha kuja na hoja fyongo ya kunionea huruma kwa hangaiko ambalo mie silioni.

Mara ngapi hapa unasema kwamba Mungu hayupo na tumekusikia?

Unaposema "tumekusikia" unamaanisha wewe na nani? Ushajionyesha una a collective Borg like thinking. Kwa kuwa wewe umenisikia basi "tumekusikia". Na waliojiunga leo nao?

If i were you, I would rather keep quiet,

That's why you couldn't be me. JF is not about keeping quiet.Read the motto up on the banner "Where We Dare To Talk Openly". Got that?

otherwise you are neither intelligent nor are you confident with your stand.

To the contrary.I never claimed to be intelligent in the first place (I don't know where you got that), and confidence is the realm of fools, so you are contradicting yourself because the truly intelligent are not overly confident, for they know the multitudinous implications of the duality and symmetrical nature of existence, from the wave particle duality of subatomic particles to the spooky action at a distance of twin particles, from the contradiction of fullness and emptiness of the simultaneous degree 0 and 360 of the circle to the probabilistic nature of quantum existence. So you see, certainty is only borne out of the poverty of our minds.

Nakumbuka kuna siku uliwahi kuibua debate ya namna hii nikakubana maswali ukashindwa kuyajibu, ukawa unaingia mitini. Sasa unakaa unaibua ibua ya nini tena ilhali kuna siku ulishindwa kujibu maswali?

Mie sikumbuki, weka ushahidi hapa.Fukua thread au uliza maswali upya. Sijawahi kukimbia mjadala JF.

Nilishakushauri

Una credentials gani za kunishauri mimi?

kuwa kama unajua kuwa Mungu hayupo, be confident and keep your stand!

I have always kept my stand, what is your point?
siyo unakaa unababaika babaika na ku-punic punic

Punic ndo nini? Kabla ya kujivika "unadhimu" wa kushauri watu kuhusu theology jifunze spelling.

tena kujaribu kutafuta uhakika kwa wengine! Mambo yako inabidi uwe na uhakika nayo mwenyewe

Wewe usiye na uhakika hata na spelling unataka kutuambia kuhusu uhakika?

kama huna uhakika uliza, na siyo kuuliza swali kijanja kama vile unatoa hoja! Argument yako moja tu kuhusu Mungu speaks a volume about you. Bahati nzuri wewe ni mwandishi mzuri wa kile ambacho si feelings za ndani kwako ulivyo!

Argument yangu moja tu against kuwepo kwa mungu? Mungu angekuwepo asingeweza kuumba mtu majununi kama wewe.
 
Ni 'speaks volumes' na siyo "speaks a volume".

Some of these people!

Sasa mtu kama huyu ndo natakiwa kumpa classical arguments za theology, nipige manyanga kama namjibu St Anselm au St Augustine.Nimwage ma utirio ya kina Russell na yaliyokuwa informed na arguments za dini za kiafrika kutoka kwa Mbiti.

It's gonna be a waste.

Where is Augustine when you need him?
 
bora niamini Mungu yupo,niende nisimuone, kuliko nisiamini,niende nimuone.

ngoja nisali tu kwa kuwa hainigharimu chochote.

Ukiamini mungu yupo ili usije kukutana naye kesho ikawa matatizo unalipa insurance premium.

Unapolipa insurance premium, ni lazima ujue probability ya risk, kama una akili.

Unalipia insurance premium kwa kitu ambacho probability ya risk hujui.

Halafu kufikiri kusali "hakukugharimu chochote" ni kujidanganya. At the very least kutakugharimu muda.
 
Ni kweli kuwa MUNGU(JEHOVA), anakawaida ya kusema na wanadamu, tena husema mara nyingi zaidi kuliko tunavyo sikia na hatusikii kwasababu hatupo kwenye nafasi sahihi kusikia MUNGU asemacho, na kuna mifano mingi ya kibiblia inayoonyesha ukweli huu. Pia wakati mwingine anaweza kusema kwa habari za mtu mwingine kupitia jamaa zako au watu wanaokufahamu hasa kama akihisi mtu huyo hayupo kwenye nafasi ya kusikia au umezadharau ili kuhakikisha kuwa ni kweli habari zina mfikia muhusika. Na kwanchi pia Mungu huongea na watu kuwajuza yawapasayo, hivyo binafsi siwezi kushanga kama MUNGU amesema na watu juu ya Tanzania kwa sabaubu ni tabia yake kwa anaowapenda.

Naomba nisisitize hapa MUNGU akiongea kwa habari za mtu au taifa huu ni upendo muu kwa muhusika na ni muhimu kufuatilia.

Mambo mawili ni muhimu kuzingatia;
1. Jambo lililosemwa ni kweli lipo katika nchi na ni kweli kwa mujibu wa ufahamu wa mwanadamu ni Chukizo kwa MUNGU?, kama ni kweli basi mwenye ufahamu ni vizuri kuzingatia, kwani mifano ni mingi katika biblia ambayo watu walipewa taarifa wakadharau na yakawapata walioambiawa.

2. Nani anatoa taarifa?, Kimsingi maandiko yanaonyesha kuwa MUNGU alikuwa natoa taarifa juu ya nchi kupitia Manabii, Mitume na wakati mwingine hata Malaika kwa watu maalumu, pamoja na watu hao kupewa taarifa si wote walio ziamini ispokuwa waliojaliwa.

Hivyo basi kabla ya kukubali au kukataa, fanya bidii kutafuta habari kutoka kwa MUNGU ili ujihakikishie usalama wa au kukubali au kukataa.

Kwa nini mungu hajasema na mimi?

Ina maana anawapendelea wengine kwa kusema nao na wengine hasemi nasi?

Ikiwa ni hivyo, na wengine hatumuamini kwa sababu hajasema nasi, kutomuamini huku kukichangiwa sana na yeye kutosema nasi, yeye kutosema nasi kukiwa ni kwa sababu ya upendeleo wake, huoni kwamba kutomuamini kwetu kunatokana na upendeleo wake?

Mungu gani mwenye upendeleo? Anaamua kusema na wengine, wengine anatuacha kivyetuvyetu?

Kwa nini asiseme na watu wote tu? Atapungukiwa na nini?

Kwa nini anajificha jificha? Anamuogopa nani?
 
Ni 'speaks volumes' na siyo "speaks a volume".

Matatizo ya kutumia lugha za watu pasipo kuwa umeenda shule ndiyo hayo, matokeo yake unajichora na kujidhalilisha kwenye forum ya dunia nzima.

Chukua darasa kidogo hapa la form one, umoja na uwingi wa Kiingereza.

Umoja: He speaks Sukuma
Uwingi:
They speak Sukuma.

Umoja: A volume of a book speaks a lot about Nyani Gauni
Uwingi: Volumes of books speak a lot abot Nyani Gauni

Moreover, I mean't a single volume of books and not volumes of books, doesn't matter whether it exists or not, the issue of its existence or non existence is immaterial here, what matters only is the language, understand student?

Note: Ukiona mtu anapenda sana kujinyanyua nyanyua mwenyewe, ujue aidha shule ni mgogoro au yuko "screw loosed" somewhere kwenye kichwa chake! KALAGABAHO!
 
Kwa nini mungu hajasema na mimi?

Ina maana anawapendelea wengine kwa kusema nao na wengine hasemi nasi?

Ikiwa ni hivyo, na wengine hatumuamini kwa sababu hajasema nasi, kutomuamini huku kukichangiwa sana na yeye kutosema nasi, yeye kutosema nasi kukiwa ni kwa sababu ya upendeleo wake, huoni kwamba kutomuamini kwetu kunatokana na upendeleo wake?

Mungu gani mwenye upendeleo? Anaamua kusema na wengine, wengine anatuacha kivyetuvyetu?

Kwa nini asiseme na watu wote tu? Atapungukiwa na nini?

Kwa nini anajificha jificha? Anamuogopa nani?

Kwa nini wewe hujasema na yeye? Kwa nini yeye awe na obligation ya kusema na wewe tu na si wewe kusema naye? Unafuga ndevu zinakuwa ndefu hadi karibia magotini halafu unapita mitaani unatangaza kuwa vinyozi hawapo kwa sababu kama wangekuwepo ndevu zako zisingerefuka hadi magotini? Unataka kinyozi akufuate chumbani kwako aje akunyoe? Kwa nini usiende saloon kama unataka kunyoa hizo ndevu zako? Kaa nazo hadi zitarefuka ziwe zinakatika zenyewe lakini kamwe kinyozi hatakufuata nyumbani kwako.

Ila nadhani una akili nyingi, huwa unatafuta kitu data fulani hapa kijanja. Kwa level ya ufahamu wako ninavyoiona, lazima utakuwa unaigiza,..., kama sivyo, tarajia mambo makubwa sana kutokea katika maisha yako siku moja!
 
Some of these people!

Sasa mtu kama huyu ndo natakiwa kumpa classical arguments za theology, nipige manyanga kama namjibu St Anselm au St Augustine.Nimwage ma utirio ya kina Russell na yaliyokuwa informed na arguments za dini za kiafrika kutoka kwa Mbiti.

It's gonna be a waste.

Where is Augustine when you need him?
Usiwe unahamasika kama kuleta ugomvi kwenye argument, just be polite and argue, kijana wangu mdogo sana wewe. Sema sina mda wa kushinda janii forums kuandf=ika andika kama wewe. Kama unabisha ni pm nikupe nambayangu ya simu halafu tukutane siku moja tuje tumenyane ana kwa ana si kwa maandishi na ushabiki wa watu wengine ambao hata wanachoongea hawakijui kama akina Nyani Gauni
 
Kwanza kabisa jifunze ku-quote vizuri hapa JF

1. Sijahangaika.Mvivu wa kufikiri anaweza kuona kuandika hivi ni kuhangaika sana.Mtu anayependa intellectual exercise atafurahia mazungumzo haya, kwani ndiyo maana nzima ya forum. Naona wewe ndiye unayehangaishwa na maandiko yangu kiasi cha kuja na hoja fyongo ya kunionea huruma kwa hangaiko ambalo mie silioni.

Unaposema "tumekusikia" unamaanisha wewe na nani? Ushajionyesha una a collective Borg like thinking. Kwa kuwa wewe umenisikia basi "tumekusikia". Na waliojiunga leo nao?

That's why you couldn't be me. JF is not about keeping quiet.Read the motto up on the banner "Where We Dare To Talk Openly". Got that?

To the contrary.I never claimed to be intelligent in the first place (I don't know where you got that), and confidence is the realm of fools, so you are contradicting yourself because the truly intelligent are not overly confident, for they know the multitudinous implications of the duality and symmetrical nature of existence, from the wave particle duality of subatomic particles to the spooky action at a distance of twin particles, from the contradiction of fullness and emptiness of the simultaneous degree 0 and 360 of the circle to the probabilistic nature of quantum existence. So you see, certainty is only borne out of the poverty of our minds.

Mie sikumbuki, weka ushahidi hapa.Fukua thread au uliza maswali upya. Sijawahi kukimbia mjadala JF.

Una credentials gani za kunishauri mimi?

I have always kept my stand, what is your point?

Punic ndo nini? Kabla ya kujivika "unadhimu" wa kushauri watu kuhusu theology jifunze spelling.

Wewe usiye na uhakika hata na spelling unataka kutuambia kuhusu uhakika?

Argument yangu moja tu against kuwepo kwa mungu? Mungu angekuwepo asingeweza kuumba mtu majununi kama wewe.

Tatizo huwa unafikia sehemu unaanza ku-argue kitoto, simply una mda wa kutosha kuchapan maandishi,unapoteza kabisa credibility! Unaingia mpaka kwenye vitu marginals kujaribu kujitetea. Huwa unajitetea mno. Ndiyo maana nakuambia you are not confident! Hayo unayoyasema yako kwenye theory, but in a practical sense, you are neither intelligent nor confident as I said before. Let me know if you can have my number, I would like a dialogue with you! Nakupa hiyo offer
 
Back
Top Bottom